Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mamelody ina vijana wadogo sana kama Onyango😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi ashinde aisee. Akithubutu kutoa draw tu, Al Alhly atapenya hapohapo kwa magoli.Al hilal kaimarika sana mkuu, kapoteza game 1 tu tena kwa goli Moja dhidi ya hawa Mamelodi Tena game ikichezwa hapo south, sidhani kama atashindwa kupata droo nyumban dhidi ya mamelodi
Wakikutana na kinyesi fc nahs kinyesi kitanuka sanaHawa Mamelodi wakikutna na kinyumenyume fc Kuna watu watazimia pale taifa[emoji23][emoji23]
Al Ahly ameshamshindwa kabisa Mamelodi aisee. Hamsa nyingine.
Sio kweli kwanza uwe na timu nzuri then ndo ushinde juani,Hizi timu za waarabu ukicheza nazo kwenye jua.. zinakuwa hazina makali
Mechi leo imeanza saa 9 kwa saa za south africa.
Binafsi ninaamini hata Simba angecheza na Raja Casablanca saa 9 ama saa 10. Simba angeshinda kwa mkapa.
Waarabu hawa ni hatari sana ukicheza nao jua limeshazama
Angeingia Yanga angeshika nafasi aliyopo Al Hilal. Au wewe uliwaza kipi?Al ahly anapigwa kama ngoma.
Imagine hili grupo ndio alikuwa aingie utopolo kuchukua nafasi ya Al hilal
Kule Misri walicheza saa nne usiku na hao Mamelodi lakinihawajapata ushindi, tena walihenyeka kwelikweli kuitafuta ile draw ya 2-2. Hiyo unasemaje?Hizi timu za waarabu ukicheza nazo kwenye jua.. zinakuwa hazina makali
Mechi leo imeanza saa 9 kwa saa za south africa.
Binafsi ninaamini hata Simba angecheza na Raja Casablanca saa 9 ama saa 10. Simba angeshinda kwa mkapa.
Waarabu hawa ni hatari sana ukicheza nao jua limeshazama
Mamelody timu yak ni nzuri sana, hamna sababu nyingine ya kumfunga al ahly zaidi ya ubora wa timu yao, kama kipindi kile simba ya Kina miq, Chama , Na bwalya walimfunga ahly kwa sababu ya ubora wa kikosi not otherwise kule ukikutana na wakubwa hakuna ujanja ujanjaKule Misri walicheza saa nne usiku na hao Mamelodi lakinihawajapata ushindi, tena walihenyeka kwelikweli kuitafuta ile draw ya 2-2. Hiyo unasemaje?
unabisha nini sasa?Acha uongo
Mwaka huu Mamelodi ametoka sare Cairo, ila msimu uliopita hakutoa sare bali alimkung'utia Al Ahly huko huko kwao Misri. Ni kawaida kwa Mamelod kumnyanyasa Al Ahly kabla hata ya msimu huuUsikalili mamemlody pamoja na kuwa tishio hakuwahi mnyanyasa mwarabu cairo kama alivyofanya mwaka huu
Acha kujidanganya boss kama shida ni jua mbona alahaly hakushinda kwake saa 4 usiku?Hizi timu za waarabu ukicheza nazo kwenye jua.. zinakuwa hazina makali
Mechi leo imeanza saa 9 kwa saa za south africa.
Binafsi ninaamini hata Simba angecheza na Raja Casablanca saa 9 ama saa 10. Simba angeshinda kwa mkapa.
Waarabu hawa ni hatari sana ukicheza nao jua limeshazama
Anasingizia jua[emoji16]Mamelody timu yak ni nzuri sana, hamna sababu nyingine ya kumfunga al ahly zaidi ya ubora wa timu yao, kama kipindi kile simba ya Kina miq, Chama , Na bwalya walimfunga ahly kwa sababu ya ubora wa kikosi not otherwise kule ukikutana na wakubwa hakuna ujanja ujanja
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakikutana na kinyesi fc nahs kinyesi kitanuka sana
Ngumu sana kwa hawa wamba wasouthMsijekushangaa Al Ahly akashinda leo na kwenye kundi akajakupita wale ni wanyama wengine japo wana hali ngumu sana.