Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Al hilal kaimarika sana mkuu, kapoteza game 1 tu tena kwa goli Moja dhidi ya hawa Mamelodi Tena game ikichezwa hapo south, sidhani kama atashindwa kupata droo nyumban dhidi ya mamelodi
Inabidi ashinde aisee. Akithubutu kutoa draw tu, Al Alhly atapenya hapohapo kwa magoli.
 
Al Ahly ameshamshindwa kabisa Mamelodi aisee. Hamsa nyingine.

Hizi timu za waarabu ukicheza nazo kwenye jua.. zinakuwa hazina makali

Mechi leo imeanza saa 9 kwa saa za south africa.

Binafsi ninaamini hata Simba angecheza na Raja Casablanca saa 9 ama saa 10. Simba angeshinda kwa mkapa.

Waarabu hawa ni hatari sana ukicheza nao jua limeshazama
 
Sio kweli kwanza uwe na timu nzuri then ndo ushinde juani,
 
5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamsaaaaaaaaaaaa mama aminaaaa
 
Kule Misri walicheza saa nne usiku na hao Mamelodi lakinihawajapata ushindi, tena walihenyeka kwelikweli kuitafuta ile draw ya 2-2. Hiyo unasemaje?
 
Kule Misri walicheza saa nne usiku na hao Mamelodi lakinihawajapata ushindi, tena walihenyeka kwelikweli kuitafuta ile draw ya 2-2. Hiyo unasemaje?
Mamelody timu yak ni nzuri sana, hamna sababu nyingine ya kumfunga al ahly zaidi ya ubora wa timu yao, kama kipindi kile simba ya Kina miq, Chama , Na bwalya walimfunga ahly kwa sababu ya ubora wa kikosi not otherwise kule ukikutana na wakubwa hakuna ujanja ujanja
 
Usikalili mamemlody pamoja na kuwa tishio hakuwahi mnyanyasa mwarabu cairo kama alivyofanya mwaka huu
Mwaka huu Mamelodi ametoka sare Cairo, ila msimu uliopita hakutoa sare bali alimkung'utia Al Ahly huko huko kwao Misri. Ni kawaida kwa Mamelod kumnyanyasa Al Ahly kabla hata ya msimu huu
 
Acha kujidanganya boss kama shida ni jua mbona alahaly hakushinda kwake saa 4 usiku?
 
Kule Misri walicheza saa nne usiku na hao Mamelodi lakinihawajapata ushindi, tena walihenyeka kwelikweli kuitafuta ile draw ya 2-2. Hiyo unasemaje?
Akikujibu ni tag
 
Anasingizia jua[emoji16]
 
Fainali ya Al hilal ni kumpiga Mamelod akizingua tu akitoa sare hapiti kwenye kundi maana kule Egypt Al ahly atakufa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…