Msimu huu nawatabiria makubwa kwakweliMwaka jana walitoka robo fainal
Yaani hawa jamaa msimuu huu wasipofika fainal kucheza na Raja……
Haitanoga kwa kweli
Fainali ya Al hilal ni kumpiga Mamelod akizingua tu akitoa sare hapiti kwenye kundi maana kule Egypt Al ahly atakufa nae.
Tutaona japo ni ngumu sana kwakweli!!Al Ahly anafuzu mzee. Hizo mechi za Coton na Al Hilal zote zinachechezewa Misri. Hamna anayetoka salama hapo.
Kumbuka Al Hilal anatafuta sare tu dhidi ya Mamelod kule SudanAl Ahly anafuzu mzee. Hizo mechi za Coton na Al Hilal zote zinachechezewa Misri. Hamna anayetoka salama hapo.
sare haitatosha kumvusha, inatakiwa ashinde ili awe na points 12 (ambazo alhy hawezi fikisha),Kumbuka Al Hilal anatafuta sare tu dhidi ya Mamelod kule Sudan
sare haitatosha kumvusha, inatakiwa ashinde ili awe na points 12 (ambazo alhy hawezi fikisha),
akidroo ni point 10, ambazo kimahesabu alhy anaweza kufikisha!
Al hilal anahitaji points mbili tu ili apite yaani al ahly hata ashinde mechi mbili zote hatofikia points za al hilal kwasababu atakuwa na 11 wakati al ahly atakuwa na 10 kama atashinda mechi zilizobaki kwa hyo ngoma bado ngumuBado Al Ahly anaweza kupita... Al Hilal akishindwa kumfunga Mamelod kule Sudan atajiweka pabaya sana, Ahly anaweza kushinda mechi zake 2 zilizobaki vs Coton away na vs Hilal home. Hii ya Ahly vs Hilal pale Cairo, Ahly atahitaji ushindi wa tofauti ya goal 2 tu, yaani ashinde 2-0, 3-1,4-2 vyovyote vile. Maana wakifungana points wanaangalia Head 2 Head kwanza sio goal difference, so lolote linaweza kutokea.
Hatima ya Al Ahly itakuwa tarehe 17sare haitatosha kumvusha, inatakiwa ashinde ili awe na points 12 (ambazo alhy hawezi fikisha),
akidroo ni point 10, ambazo kimahesabu alhy anaweza kufikisha!
Hivi bwalya aliendaga wapMamelody timu yak ni nzuri sana, hamna sababu nyingine ya kumfunga al ahly zaidi ya ubora wa timu yao, kama kipindi kile simba ya Kina miq, Chama , Na bwalya walimfunga ahly kwa sababu ya ubora wa kikosi not otherwise kule ukikutana na wakubwa hakuna ujanja ujanja
Head to head Al ahly mechi ya Kwanza alifungwa pale Khartoum SudanBado Al Ahly anaweza kupita... Al Hilal akishindwa kumfunga Mamelod kule Sudan atajiweka pabaya sana, Ahly anaweza kushinda mechi zake 2 zilizobaki vs Coton away na vs Hilal home. Hii ya Ahly vs Hilal pale Cairo, Ahly atahitaji ushindi wa tofauti ya goal 2 tu, yaani ashinde 2-0, 3-1,4-2 vyovyote vile. Maana wakifungana points wanaangalia Head 2 Head kwanza sio goal difference, so lolote linaweza kutokea.
Yuko South AfricaHivi bwalya aliendaga wap
ShalulileHao ni madaraja mengine, yule jamaa anayechomekea mwanzo mwisho habari nyingine.
Onyango wa kinyumenyume?Mamelody ina vijana wadogo sana kama Onyango[emoji23]