Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Dstv Channel 222, Kitu HDZBC2
Mamelod 3-1 Hadi kuelekea half time naona Leo waarabu Al AHLY wanaoga nyingiHadi sasaivi mamelod anaongoza 2-1
Mmmmmm really mkuu,Tunaomba sana mamelody tupewe simba tumtwange 8
YeahWanakula 5 na kuagwa
Walishawahi kuwapiga 5 bila hapo hapo sasa kwa dalili hii Al Ahly wataomba mpira uishe.Mamelod 3-1 Hadi kuelekea half time naona Leo waarabu Al AHLY wanaoga nyingi
Unawapenda Sana SimbaTunaomba sana mamelody tupewe simba tumtwange 8