Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Wewe akili hauna onyango
 
Hatakama hawana usijifunze kwa walioshindwa mdada
 
Ahly anatakiwa kumtunga coton na Al hilal ili afuzu
 
Sasa usibishane na wanaojua mpira, wew hujui hata mmiliki wa Mamelodi ndio raisi wa caf? Na ndio Aliyekuwa ana mkula Barbara wa Simba paka kampa mimba?
Hujui kwanini Simba alikuwa anapata upendeleo wa ratiba hatua za mtoano?
Unaanza kuleta ubuyu wabongo bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…