Mamelody yaibua utata tena dhdi ya Cape Town Spurs.

Pichani ni mchezaji wa Cape Town spurs akimchezea rafu mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile nje ya box ambapo jambo lililostua wengi na kuzua taharuki ni kwamba mwamuzi wa mchezo huo aliamuru penalti iliyowapa ushindi wa goli 1 Mamelodi Sundowns.

Penalti hiyo imekuwa gumzo kubwa mitandaoni nchini Afrika Kusini mashabiki wa soka wanasema Mamelodi Sundowns inaua soka la Afrika kwa kutumia waamuzi kushinda mechi zake. Huu ni ushahidi mwingine kwamba kukataliwa goli halali la Aziz Ki haikuwa bahati mbaya, ulikua mpango wa makusudi kabisa na klabu ya Mamelodi Sundowns imehusika.

Tukio la jana limeibua hasira kali huku mashabiki wengi wakitaka shirikisho la soka Afrika CAF kufanya uchunguzi mkali dhidi ya klabu ya Mamelodi Sundowns pia wakitaka mmiliki wa klabu hiyo ambaye pia ndio rais wa CAF bilionea Patrick Motsepe kuachia ngazi mara moja kwakua inawezekana ndio mastermind wa matukio haya ya upangaji matokeo ya Mamelodi Sundowns

Ni dhahiri sasa kibaka Mamelodi Sundowns amedakwa hadharani tena akiiba msikitini awamu hii hachomoi, hii unaitaje penalti mdau?
sio zidi ni dhidi
 
Kafie mbele kolo mkubwa wew
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Kafie mbele kolo mkubwa wew

Ficha upumbavu wewe Juha.
Hayo maneno yalitamkwa na Dk Luke Emarey akiwa kocha wa yanga. 2020

Chaa kusikigisha zaidi na Majuha menzio yana like.

HAMJUI HATA MAANA YA HIZO ALAMA
FUNGA SEMI NA FUNGUA SEMI."
 
Mbona hata nyinyi Yanga mmesha pewa penalty za aina hiyo zaidi ya mara 2 na haukuja kuanzisha uzi?
Mwaka jana Morrison dhidi ya Geita Gold. Hadi Morrison mwenyewe akamshangaa refa.
 
(1) Uto alipewa penati ydhidi ya Namungo kwa faulo ya mchongo kwa feisal
(2) uto alipewa penat ya.mchongo kwa faulo nje ya 18 dhidi ya geita gold
(3) magoli halali ya gwambina na kagera sugar yalikataliwa walipoifunga uto
(4) uto alipewa penati kwa faulo nje ya 18 dhidi ya simba baada ya kisinda kufanyiwa na onyango nje ya 18

Uto huwa anafaidika sana na maamuzi ya hovyo
 
Unakumbuka Yanga Afrika ya Tanzania imewahi kufungwa goli refa akakataa akasema ni kona?
 
Mtajua wenyewe na mambo yenu, SISI tunachojua utopolo ni mwakalobo junior
 
Mbona hata nyinyi Yanga mmesha pewa penalty za aina hiyo zaidi ya mara 2 na haukuja kuanzisha uzi?
Anzisha uzi kuhusu yanga kupewa pwenati za bure...HAPA HOJA NI MAMELODI

ACHA UNDEZI
 
Pichani ni mchezaji wa Cape Town spurs akimchezea rafu mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile nje ya box ambapo jambo lililostua wengi na kuzua taharuki ni kwamba mwamuzi wa mchezo huo aliamuru penalti iliyowapa ushindi wa goli 1 Mamelodi Sundowns.

Penalti hiyo imekuwa gumzo kubwa mitandaoni nchini Afrika Kusini mashabiki wa soka wanasema Mamelodi Sundowns inaua soka la Afrika kwa kutumia waamuzi kushinda mechi zake. Huu ni ushahidi mwingine kwamba kukataliwa goli halali la Aziz Ki haikuwa bahati mbaya, ulikua mpango wa makusudi kabisa na klabu ya Mamelodi Sundowns imehusika.

Tukio la jana limeibua hasira kali huku mashabiki wengi wakitaka shirikisho la soka Afrika CAF kufanya uchunguzi mkali dhidi ya klabu ya Mamelodi Sundowns pia wakitaka mmiliki wa klabu hiyo ambaye pia ndio rais wa CAF bilionea Patrick Motsepe kuachia ngazi mara moja kwakua inawezekana ndio mastermind wa matukio haya ya upangaji matokeo ya Mamelodi Sundowns

Ni dhahiri sasa kibaka Mamelodi Sundowns amedakwa hadharani tena akiiba msikitini awamu hii hachomoi, hii unaitaje penalti mdau?
Kwahyo haya maelezo yataisaidia yanga kwenda nusu fainali?
 
UBUTU BOTHO Bado wanalandalanda kwenye mioyo ya wana utopolo
 
Back
Top Bottom