Mameneja Sallam, Babu tale, Fella, wamesusa wasanii wao wanabanana WCB

uzuri wa jamiiforums hatujuani.. unaweza kuta mimi ndio daimond au ndio zari
Unajua kwamba diamond bila hao mameneja asingefika hapo alipo?au unamuona mjinga kuwa na mameneja?
Hao ndo wazee wa fitina.na diamond anawaheshimu sana.
 
Mmmh zari tumekusikia
 
Kuwalaumu kina Mkubwa Fela na Wenzake ni sawa na kuilaumu pini badala ya sumaku.
 
King kiba ana wa meneja zaidi ya saba hadi na wanawake wameneja ila hapendi show off we domo na meneja wako wa 4
 
King kiba ana wa meneja zaidi ya saba hadi na wanawake wameneja ila hapendi show off we domo na meneja wako wa 4
Uliwajuaje hao mameneja saba kama hapendi show off au we mke wake
 
correction: Babu tale sio muasisi wa Tip Top bali ni Marehemu Abdul Bonge ambaye ni kaka yake na Tale, kipindi hicho huyo tale mshamba tu hata hajui muziki ni nini!
 
Watu msichokielewa hapa ni kwamba, Diamond ndio bosi. Hawa ni waajiriwa, kama alivyomuajiri Zari kumzalia watoto.
 
Uliwajuaje hao mameneja saba kama hapendi show off au we mke wake
Anasema ana mameneja 7? Wa wapi? Tusimsikie ?zaid ya yoooooo pop it in mwenzake a na pop in and out simba dangote miaka 100000 platinum dhahabu halisi
 
Nahc Kuna Ujumbe Ulitaka Kuufkisha Sema V2 Ulivyozungumzia Havina Mantiki. Mf. Unaposema Mameneja Wanahama, Ss Umeneja C Ni Kaz? Kwan Hujawah Ona Meneja Anatoka Kampun Moja Kwenda Nyingine? They Are After Green Pasture! Kwan Ukiwa Mngr Ndo Unakua Baba Mzaz Wa Wanamuziki? Af Unaposema Diamond Anafamili Kubwa, Cjajua Wazo Lako Nn, Kwan Wanakula Kwa Diamond? C Ni Makubaliano Ya Kaz Na Watafaidika Na Watakacho Zalisha Pale WCB. Hata Wangekua 100 Ile Ni Kampuni Na Wapo Pale Kikazi, Hawaend Pale Kuomba Hela Za Mjombaenu Mondi.
 
For sure hawa jamaa wameamua kubanana na Diamond aisee maana wote msanii mmoja wamekomaa nae. Japo kuna wengine ktk lebo kama Ray Vanny lkn kichwa pale n mond....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…