Mameneja Sallam, Babu tale, Fella, wamesusa wasanii wao wanabanana WCB

Mameneja Sallam, Babu tale, Fella, wamesusa wasanii wao wanabanana WCB

uzuri wa jamiiforums hatujuani.. unaweza kuta mimi ndio daimond au ndio zari
Unajua kwamba diamond bila hao mameneja asingefika hapo alipo?au unamuona mjinga kuwa na mameneja?
Hao ndo wazee wa fitina.na diamond anawaheshimu sana.
 
habari wadau..

nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake anabanana WCB.

sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB.

Mkubwa fella nakumbuka ni meneja wa Yamoto band, kina temba, chege etc naona nae amekimbia lebo yake anabanana WCB.

WCB patamu kuna safari za ulaya nyingi na Diamond ana hela ndefu wanyonyaji wote wameamua wakomae nae..

Ofisi ya WCB kila kitu ni gharama za Diamond.

recruitment ya wasanii WCB ni diamond yaani diamond akisema chochote mameneja wanasema Yess boss

Sio majungu wadau ni maoni tu..

kama hawa mameneja ni wazuri wanaupenda mziki wetu why wasiwamanage wasanii wao nao wawe kama diamond..

madee anapigia video posta barabarani siku ya jumapili maskini kuepuka msongamano.. meneja kakimbilia nyumba ndogo WCB.

Sallam, Babu tale na fella msikimbie nyumba zenu wasaniii wenu wanawahitaji muwakomboeeee...

Diamond ana familia inamtegemea sio kisa ameshatusua mkomae nae,,,, msimnyonyeeee sana
Mmmh zari tumekusikia
 
Kuwalaumu kina Mkubwa Fela na Wenzake ni sawa na kuilaumu pini badala ya sumaku.
 
King kiba ana wa meneja zaidi ya saba hadi na wanawake wameneja ila hapendi show off we domo na meneja wako wa 4
 
correction: Babu tale sio muasisi wa Tip Top bali ni Marehemu Abdul Bonge ambaye ni kaka yake na Tale, kipindi hicho huyo tale mshamba tu hata hajui muziki ni nini!
 
Watu msichokielewa hapa ni kwamba, Diamond ndio bosi. Hawa ni waajiriwa, kama alivyomuajiri Zari kumzalia watoto.
 
Uliwajuaje hao mameneja saba kama hapendi show off au we mke wake
Anasema ana mameneja 7? Wa wapi? Tusimsikie ?zaid ya yoooooo pop it in mwenzake a na pop in and out simba dangote miaka 100000 platinum dhahabu halisi
 
Nahc Kuna Ujumbe Ulitaka Kuufkisha Sema V2 Ulivyozungumzia Havina Mantiki. Mf. Unaposema Mameneja Wanahama, Ss Umeneja C Ni Kaz? Kwan Hujawah Ona Meneja Anatoka Kampun Moja Kwenda Nyingine? They Are After Green Pasture! Kwan Ukiwa Mngr Ndo Unakua Baba Mzaz Wa Wanamuziki? Af Unaposema Diamond Anafamili Kubwa, Cjajua Wazo Lako Nn, Kwan Wanakula Kwa Diamond? C Ni Makubaliano Ya Kaz Na Watafaidika Na Watakacho Zalisha Pale WCB. Hata Wangekua 100 Ile Ni Kampuni Na Wapo Pale Kikazi, Hawaend Pale Kuomba Hela Za Mjombaenu Mondi.
 
For sure hawa jamaa wameamua kubanana na Diamond aisee maana wote msanii mmoja wamekomaa nae. Japo kuna wengine ktk lebo kama Ray Vanny lkn kichwa pale n mond....
 
Back
Top Bottom