Jibu swali mama kibaPovu naona limekutoka sehemu za nyuma
Wema alijua ile ni chupa tu .....Namkumbuka na ule wimbo
Mbagala
Kamwambie
Dah wema umeiacha alumasi imesepa
Fela punguza jazba basiNahc Kuna Ujumbe Ulitaka Kuufkisha Sema V2 Ulivyozungumzia Havina Mantiki. Mf. Unaposema Mameneja Wanahama, Ss Umeneja C Ni Kaz? Kwan Hujawah Ona Meneja Anatoka Kampun Moja Kwenda Nyingine? They Are After Green Pasture! Kwan Ukiwa Mngr Ndo Unakua Baba Mzaz Wa Wanamuziki? Af Unaposema Diamond Anafamili Kubwa, Cjajua Wazo Lako Nn, Kwan Wanakula Kwa Diamond? C Ni Makubaliano Ya Kaz Na Watafaidika Na Watakacho Zalisha Pale WCB. Hata Wangekua 100 Ile Ni Kampuni Na Wapo Pale Kikazi, Hawaend Pale Kuomba Hela Za Mjombaenu Mondi.
Alianza na AY baadae akaanza kumsimamia DaimondHivi Sallam alianza kum_manage AY au alianzia kwa Diamond?
Dah yule dogo mwenye sauti nzito ataweza kweli kutoa wimbo peke ake?YAMOTO BAND naona tumepoteana kila mtu anatoa ngoma yake, halafu nasikia Maromboso yupo WCB
Daah aisee hata mimi najiuliza...kwa maana tangu kundi livunjike sijamsikia mainstreamDah yule dogo mwenye sauti nzito ataweza kweli kutoa wimbo peke ake?
Huyo dogo namuhurumia sana maana kwa uimbaje wake ule kutoboa ni ngumu aiseeDaah aisee hata mimi najiuliza...kwa maana tangu kundi livunjike sijamsikia mainstream
Kweli mkuu...mfanano wa sauti na Mond sijui asee utamfikisha wapi...Akazane sana asee la sivyo tutapoteanaHuyo dogo namuhurumia sana maana kwa uimbaje wake ule kutoboa ni ngumu aisee
Mond tena, umekula maharage ya wapi,?Kweli mkuu...mfanano wa sauti na Mond sijui asee utamfikisha wapi...Akazane sana asee la sivyo tutapoteana
Hahaha ya mbeya...nilikuwa namaanisha Diamond mkuuMond tena, umekula maharage ya wapi,?
Afulie ili iweje????Diamond akifulia hapo hutamuona hata mmoja, we jiulize mameneja wote watatu wanammeneji mtu mmoja wanameneji nini? Hao mameneja wajanjawajanja washapiga hesabu wameona kumanage Diamond mmoja wanapiga pesa ndefu kuliko kumanage wakina Temba 20
Kakimbia makafara si unaona mke wa mganga kazoea mafusho ya UDI kila kukichaNamkumbuka na ule wimbo
Mbagala
Kamwambie
Dah wema umeiacha alumasi imesepa