Mameneja Sallam, Babu tale, Fella, wamesusa wasanii wao wanabanana WCB

Mameneja Sallam, Babu tale, Fella, wamesusa wasanii wao wanabanana WCB

Mimi huyo Sallam ndiye hunishangaza zaidi.

Anajifanya ana uchungu na Diamond kuliko mama Mondi. Amekaa kimajungu majungu, kutwa kurusha vijembe huko Instagram. Meneja wa caliber yake mwenye international exposure, anategemewa kuwa mfano bora katika kuleta wasanii na washabiki wa mziki huu pendwa kwa vijana pamoja, ila huyu jamaa du, ni mpambe nuksi. Anatumia nguvu nyingi kuonyesha yeye ndiye anampigania zaidi Mondi. Mbona akina Talle na Fella hawana mambo hayo?
 
Wanaacha kuendeleza wasanii wao ili walete ushindani kwa wcb wanahangaika na WCB
 
Nahc Kuna Ujumbe Ulitaka Kuufkisha Sema V2 Ulivyozungumzia Havina Mantiki. Mf. Unaposema Mameneja Wanahama, Ss Umeneja C Ni Kaz? Kwan Hujawah Ona Meneja Anatoka Kampun Moja Kwenda Nyingine? They Are After Green Pasture! Kwan Ukiwa Mngr Ndo Unakua Baba Mzaz Wa Wanamuziki? Af Unaposema Diamond Anafamili Kubwa, Cjajua Wazo Lako Nn, Kwan Wanakula Kwa Diamond? C Ni Makubaliano Ya Kaz Na Watafaidika Na Watakacho Zalisha Pale WCB. Hata Wangekua 100 Ile Ni Kampuni Na Wapo Pale Kikazi, Hawaend Pale Kuomba Hela Za Mjombaenu Mondi.
Fela punguza jazba basi
 
Hahahaaaa... Mmenichekesha sana leo..
 
Diamond akifulia hapo hutamuona hata mmoja, we jiulize mameneja wote watatu wanammeneji mtu mmoja wanameneji nini? Hao mameneja wajanjawajanja washapiga hesabu wameona kumanage Diamond mmoja wanapiga pesa ndefu kuliko kumanage wakina Temba 20
Afulie ili iweje????
 
Mnaulizana mameneja watatu kwa msanii mmoja wanafanya nini? kuna mdau kasema hapo kua sal connection za nje, fela za temeke na Tale za mikoani
 
Back
Top Bottom