joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
RAIA WA 100 KENYA WAKAMATWA MARA - Channel Ten
Zaidi ya watu mia moja Raia wa nchi ya kenya wamekamatwa wakijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika mpaka wa kenya na Tanzania eneo la Sirari wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara baada yaviongozi wa ccm kuwabaini wakikiuka sharia za nchi wannchama wa jumuiya...
www.channelten.co.tz
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.
1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.
2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.