Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Next time uheshimu mawazo ya MTU, ukiona hukubaliani nayo, bora upotezee.

Oh really?

Wewe una haki ya maoni na mimi nina haki ya kujibu nitakacho vilevile!

Usinipangie eti ninyamaze wewe kama nani?

Wewe Unataka haki ila wewe unapangie wengine wanyamaze kisa eti wewe umeongea??

Oh yeah?
 
Kweli kabisa ulivyosema, kama Tanzania ikiruhusu wakenya kuja kuishi Tanzania, ninahisi hata Uhuru Kenyatta atauvua urais wake kuja kuishi ktk nchi ya maziwa na asali.
That's total BS and you know it . Basi kuja mchukue wale omba omba wengi sana wa Tz waliopo Nairobi waende wakule huo uvundo wa asali na maji chafu.
 
Hivyo ndivyo mnavyojidanganya
Hakuna watu wanaojisikia na kujidanganya ati waku juu "holier and better than thou" kama hii mitanzania .Alafu ona vile wanaishi kwa shida pale Tandale na Mwananyamala slums.
 
Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya
Hakuna mkenya anyetaka kuwa raia wa LDC nitakwambia hivyo bure bila kukulipisha the costs of my detailed survey of Kenyans.
 
Halafu kuna watanzania wanasema BORA NINGEZALIWA KENYA
 
Halafu kuna watanzania wanasema BORA NINGEZALIWA KENYA
Kumbe wanasema hivyo eee!! Nilikua sijui ndo maaana wakawa wanajirahisisha kuolewa bule ili waishi Kenya ee
Screenshot_20190822-163130.jpeg
 
Nafanya nao kazi ni kweli vimbelembele kila kitu wanajua wao.
Ndio hvyo yaani wanaboa sana hawako fair Kama tulivyo sisi watanzania.
Tena especially kwenye kazi akiwepo mzungu Basi ndio watajikomba Hadi waonekane wao ndio muhimu kuliko watu wengine.
Hata Kama kitu hakijui atajifanya kutoa maelezo marefu ya uongo na kweli ili aonekane yeye mtaalam sana.
 
Kumbe wanasema hivyo eee!! Nilikua sijui ndo maaana wakawa wanajirahisisha kuolewa bule ili waishi Kenya eeView attachment 1187740
Watz ndio baadhi wanakimbilia kuoa kenya kupunguza gharama za mahali.
Hiyo yaonesha kuwa wakenya wanapunguza mahali ili waolewe na watz waje kupata uraia kiurahisi wa Tanzania waepuke maisha magum kenya.
 
Tuna ardhi kubwa sana ambayo hata hatujui matumizi yake na wao wanatafuta fursa kwa kila njia na wapo wanaowapa hizo fursa ili wajimilikishe kwa njia yeyote
Ifike mahali kama kuwakodishia walipe kodi stahiki kwa miaka kadhaa na ikiisha wanaongezewa ili tupate wawekezaji wa maana
Wanatamani kupata hata garden kwao na kuiita shamba

Mwekezaji akija mbona ardhi anapata kirahisi tu mzee? Tena kama ni kiwanda au plantation anapata for free,
Ila hatuwezi karibisha watu njaa kali kama Wakenya, Vinginevyo wakija ni Lazima tujiridhishe kwa kuangalia bank statements zao
 
Ngoja tuone...

Unajuaje labda Uhuru anataka kutoa support kwa chama tawala, kama alivyoturudishia fedha na dhahabu zetu...



Cc: mahondaw
 
Siasa ndivyo zilivyo...


Cc: mahondaw
Mkuu mkuu sawa nakubali siasa inahusisha na mind flicking and mocking lakini sio ktk hili.
Yani wawaandae watu kuwazidishia uzito ktk kura kwenye general elections kwa kuwanunua halafu wenyewe wawashutumu kujiandikisha kiharamia ktk upigaji kura bro???!!!!!!

Haipenyi akilini kaka.
 
Mkuu mkuu sawa nakubali siasa inahusisha na mind flicking and mocking lakini sio ktk hili.
Yani wawaandae watu kuwazidishia uzito ktk kura kwenye general elections kwa kuwanunua halafu wenyewe wawashutumu kujiandikisha kiharamia ktk upigaji kura bro???!!!!!!

Haipenyi akilini kaka.

Watu wana plan vitu mapema sana kwa kwa style ambayo huwezi kuja kushtukia hata kidogo...


Cc: mahondaw
 
Mwekezaji akija mbona ardhi anapata kirahisi tu mzee? Tena kama ni kiwanda au plantation anapata for free,
Ila hatuwezi karibisha watu njaa kali kama Wakenya, Vinginevyo wakija ni Lazima tujiridhishe kwa kuangalia bank statements zao

Nimekuelewa vizuri kwenye sentensi ya mwisho
Kweli kabisa
 
Kupiga kura? Vs Kutaka uraia wa tz?....mbn sioni connection hapo?
 
Dili huaga halihusishwi polisi wa kawaida, linaweza likabuma...sasa hao pilisi wanefanya kazi ya ujinga tu...wataachiwa hao
Kama ccm ndio inawanunua kwann serikali yenyewe iwakamate???
 
Back
Top Bottom