Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Ipo tena kubwa.
Kumbuka kad ya kupigia kura hupata raia wa nchi husika.
Asa atapopata kitambulisho cha kupiga kura huoni ni rahisi kupata cha uraia.
Utapata vipi kadi ya kupiga kura kama huna kitambulisho? Huku kwetu Kwanza kitambulisho au passport ndio uweze kujisajili kama mpiga kura.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu ni sifa kama ilivyo urefu au ufupi,etc!

Mfano wa baba uliotoa ni laZima nimuite hivyo kama ana sifa hiyo!

Baba ni mwanadamu kama wanadamu wengine na anawezakua punguani kama wengine,yeye kunizaa mimi hakuondoi upunguani wake kama anao!

Haki yangu iaikwaze wengine na wewe yako iaitukwaze sie wengine!

Tit-for-tat kinda deal!
Sasa kwanini unalalamika nikiwaita wazazi wako ni wapumbavu?, kwasababu ni sifa kama vile urefu na ufupi.
 
Tatizo wa kwenu mpka wa dar huja kusomea kenya...huoni km elimu yenu ina matatizo...

Mtanzania mwenye uwezo wa kifedha na akili zilizokomaa...mtoto wake hawez somea tanzania..
Kama ambavyo wakenya hujazana Muhimbili, Ocean Road Hospital, na KCMC Hospital kule Moshi kwa ajili ya kufuata matibabu bora na nafuu, kwasababu Hospital zenu hamna kitu.
 
Utapata vipi kadi ya kupiga kura kama huna kitambulisho? Huku kwetu Kwanza kitambulisho au passport ndio uweze kujisajili kama mpiga kura.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nchi zinataratibu na sheria tofauti, Tanzania ni tofauti kwasababu hatuna vitambulisho vya Taifa, na sio kila mtu ana Passport.
 
Tz bado wanatumia curriculum ya kiswahili cha bongo? It produces very incompetent people.
 
Hiyo ni kawaida ya watu wa mipakani wote.

Mbona tunayasikia sana hayo baina ya Tanganyika na Zanzibar wakati wa uchaguzi.

Siku tutayofanikiwa kudhibiti ya humu ndani ya nje na Tanzania yatakuwa ni myepesi sana.
 
Sijakataa!

Na wewe wako ni mapumbavu the same way!

Hit here and I hit there!

Relaxxx!
Anyway, kwa ufupi ni kwamba, Kama wewe kwako unadhani ni sawa kuwaita wazazi wako pumbavu ni sawa, au kumuita mtu pumbavu ni jambo la kawaida, Mimi kwangu sio kawaida na sipendi, kwa kufanya hivyo ni kunishambulia.
 
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.
Weka ushahidi wacha kukurupuka. Infact Kuna documentary ya Watanzania kuja shule za Kenya pande wa mpaka wa Taveta na Tz.

Weka ushahidi wako niweke wangu...bure kabisa.
 
Anyway, kwa ufupi ni kwamba, Kama wewe kwako unadhani ni sawa kuwaita wazazi wako pumbavu ni sawa, au kumuita mtu pumbavu ni jambo la kawaida, Mimi kwangu sio kawaida na sipendi, kwa kufanya hivyo ni kunishambulia.

Kama hupendi ni sawa!

Ili usisikie chochote hama dunia!
 
Weka ushahidi wacha kukurupuka. Infact Kuna documentary ya Watanzania kuja shule za Kenya pande wa mpaka wa Taveta na Tz.

Weka ushahidi wako niweke wangu...bure kabisa.
Weka huo ushahidi na Mimi nitakuletea
 
Back
Top Bottom