Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nimeamin ww km huvuti bangi wanywa local beer.
Nimekuuliza watz ambao wana hela waliosoma shule za cambridge Tz hapa hapa tuwazungumziaje?????
Na sio kila shule ya government inatoa elimu hafifu hujatembelea mashule ya serikali kama Temeke,Daresalam,Chang'ombe ukaone elim wanazotoa.
Hiyo ni uamuzi tu wa mtu.
Kwan mbona Turkey wanaenda soma India some of them udaktari watakasema Turkey ina mfumo mbovu wa elimu!?????
Bro unakwma wapi au umelewa ukasahau kunywa supu!!!!
Bro unaelewa ni kwa ugumu gan kumlinda mtu km yule hospitalin utajuaje km Doctors ndio wamepewa tender wammalizie???Kwhyo hta kumuekea ulinzi mmeshindwa pia...si nyinyi mnajisifia km mko vizuri sekta ya ulinzi
Itafute shule iitwayo IST itakupa majibu.Wanaenda india kwa sababu sekta ya medicine india wako vizuri kuwaliko...una swali lingine...
Halafu niletee shule hta moja ya tanzania yenye mfumo huo wenu wa mpka form 6 yenye iko kumi bora africa ni log off jamii forums
Bro unaelewa ni kwa ugumu gan kumlinda mtu km yule hospitalin utajuaje km Doctors ndio wamepewa tender wammalizie???
Then watoke kusingizia wamefanya kila liwezekanalo lakn wameshindwa kumuokoa??
Itafute shule iitwayo IST itakupa majibu.
Alaa kumbe umeelewa eeh ila sio kwamba mfumo wao mzima mbovu wa elimu????
Itafute shule iitwayo IST itakupa majibu.
Alaa kumbe umeelewa eeh ila sio kwamba mfumo wao mzima mbovu wa elimu????
Sawa bro naona Serikali inawajalia ikawalinda pale westgate mall.Serikali km inakujali itakulinda...
Yan unajipeleka police mwenyewe.Afadhali umenisoma sasa...mfumo wa kenya wa elimu ni bora kuliko wa tanzania...afadhali bana...thats y mnarundikana hku kwetu angalau kupata elimu bora
Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?Afadhali umenisoma sasa...mfumo wa kenya wa elimu ni bora kuliko wa tanzania...afadhali bana...thats y mnarundikana hku kwetu angalau kupata elimu bora
Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?
Hamna Wabongo wanasoma Kenya siku hizi!Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?
Yan unajipeleka police mwenyewe.
Hapa twazungumzia raia wenu kutaman kuishi huku mlevi mwenzio analeta ulev kuwa watz wanakuja huko kwenu kusoma kisa wanataman kuwa kenyans.
Na pia ushajijibu kuwa mfumo wa elimu sio mbovu bali mmetuzid.
Afadhali umesadikisha nilichoongea na kufuta uongo wako.
Sawa bro naona Serikali inawajalia ikawalinda pale westgate mall.
Kila mtanzania ni shoga ,Sio baba yako?, nijuavyo anajiuza kule Mombasa
Unajua maana ya kupenda kuishi na kutafuta kitu ????Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?
Lipumba ni miongoni mwa wanauchumi tano bora DUNIANI NA KASOMEA TANZANIA KAFANYA MITIHAN YA NECTA NA KASOMA VYUO VYA TCU NAMBIE AMEKUAJE ECONOMIST MKUBWA TOP FIVE WORLD WIDE KM MFUMO WETU WA ELIMU MBOVU???Mfumo wa tanzania ni mbovu...wacha kuleta ngano nyingi hapa
Huyo jamaa mlevi hatumii akili.Hamna Wabongo wanasoma Kenya siku hizi!