Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Kwhyo hta kumuekea ulinzi mmeshindwa pia...si nyinyi mnajisifia km mko vizuri sekta ya ulinzi
 
Wanaenda india kwa sababu sekta ya medicine india wako vizuri kuwaliko...una swali lingine...

Halafu niletee shule hta moja ya tanzania yenye mfumo huo wenu wa mpka form 6 yenye iko kumi bora africa ni log off jamii forums
Hahahaha nimeamin ww km huvuti bangi wanywa local beer.
Nimekuuliza watz ambao wana hela waliosoma shule za cambridge Tz hapa hapa tuwazungumziaje?????
Na sio kila shule ya government inatoa elimu hafifu hujatembelea mashule ya serikali kama Temeke,Daresalam,Chang'ombe ukaone elim wanazotoa.
Hiyo ni uamuzi tu wa mtu.
Kwan mbona Turkey wanaenda soma India some of them udaktari watakasema Turkey ina mfumo mbovu wa elimu!?????
Bro unakwma wapi au umelewa ukasahau kunywa supu!!!!
 
Kwhyo hta kumuekea ulinzi mmeshindwa pia...si nyinyi mnajisifia km mko vizuri sekta ya ulinzi
Bro unaelewa ni kwa ugumu gan kumlinda mtu km yule hospitalin utajuaje km Doctors ndio wamepewa tender wammalizie???
Then watoke kusingizia wamefanya kila liwezekanalo lakn wameshindwa kumuokoa??
 
Wanaenda india kwa sababu sekta ya medicine india wako vizuri kuwaliko...una swali lingine...

Halafu niletee shule hta moja ya tanzania yenye mfumo huo wenu wa mpka form 6 yenye iko kumi bora africa ni log off jamii forums
Itafute shule iitwayo IST itakupa majibu.
Alaa kumbe umeelewa eeh ila sio kwamba mfumo wao mzima mbovu wa elimu????
 
Serikali km inakujali itakulinda...
Bro unaelewa ni kwa ugumu gan kumlinda mtu km yule hospitalin utajuaje km Doctors ndio wamepewa tender wammalizie???
Then watoke kusingizia wamefanya kila liwezekanalo lakn wameshindwa kumuokoa??
 
Afadhali umenisoma sasa...mfumo wa kenya wa elimu ni bora kuliko wa tanzania...afadhali bana...thats y mnarundikana hku kwetu angalau kupata elimu bora
Itafute shule iitwayo IST itakupa majibu.
Alaa kumbe umeelewa eeh ila sio kwamba mfumo wao mzima mbovu wa elimu????
 
Afadhali umenisoma sasa...mfumo wa kenya wa elimu ni bora kuliko wa tanzania...afadhali bana...thats y mnarundikana hku kwetu angalau kupata elimu bora
Yan unajipeleka police mwenyewe.
Hapa twazungumzia raia wenu kutaman kuishi huku mlevi mwenzio analeta ulev kuwa watz wanakuja huko kwenu kusoma kisa wanataman kuwa kenyans.

Na pia ushajijibu kuwa mfumo wa elimu sio mbovu bali mmetuzid.
Afadhali umesadikisha nilichoongea na kufuta uongo wako.
 
Pia kwa upande wa wanaume hujiona ni wasomi sana, lakini wanawake ndio hamna kitu, ukitongoza mmoja anaalika na mwenzie kwa ahadi kuwa naye atapata huko huko mwendako
 
Afadhali umenisoma sasa...mfumo wa kenya wa elimu ni bora kuliko wa tanzania...afadhali bana...thats y mnarundikana hku kwetu angalau kupata elimu bora
Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?
 
Mi nawashangaa bana hwa ndugu zetu

Hamna Wabongo wanasoma Kenya siku hizi!
 
Mfumo wa tanzania ni mbovu...wacha kuleta ngano nyingi hapa
Yan unajipeleka police mwenyewe.
Hapa twazungumzia raia wenu kutaman kuishi huku mlevi mwenzio analeta ulev kuwa watz wanakuja huko kwenu kusoma kisa wanataman kuwa kenyans.

Na pia ushajijibu kuwa mfumo wa elimu sio mbovu bali mmetuzid.
Afadhali umesadikisha nilichoongea na kufuta uongo wako.
 
Hehe yani mbongo kasomea kenya toka primary hadi secondary zaidi ya miaka kumi. Tena akimbie pale KIPS college ajipe cheti cha tourism cha Kikenya lakini according to ccm slaves, wakenya ndo wapenda kuishi bongo. Hiyo miaka yote akisoma alikua anaishi space?
Unajua maana ya kupenda kuishi na kutafuta kitu ????
We kweli boya kat ya maboya.
Unajua maana ya kuishi!???
Hao wanakuja kusoma kipindi cha likizo wanarudi kwao???
Ingekuw wanapenda kuishi ht likizo wasingerudi.
Ni sawa na waturuki wanaoenda kusoma udaktari India ten years unataka kusema wanapenda kuishi India ?????
Sio bure we mlevi ww
 
Mfumo wa tanzania ni mbovu...wacha kuleta ngano nyingi hapa
Lipumba ni miongoni mwa wanauchumi tano bora DUNIANI NA KASOMEA TANZANIA KAFANYA MITIHAN YA NECTA NA KASOMA VYUO VYA TCU NAMBIE AMEKUAJE ECONOMIST MKUBWA TOP FIVE WORLD WIDE KM MFUMO WETU WA ELIMU MBOVU???
ACHA ULEVI BUDAH
 
Back
Top Bottom