Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Pale Kuria land pamejaa watanzania watoto wa primary school wanasomea shule za Kenya. Tena enzi zangu primary school kuna wale walikua wakitoka dar kuja hadi Migori via Namanga route. Yani hadi barabara ya kutoka dar via tz ilikua ni shida. Kwa hivo tusijidanganye apa wakati mambo kwa ground ni tofauti sana
 
Endelea kuiota Tanzania, kamwe haturuhusu mkenya kuja kutuambukiza ukabila, wizi, Rushwa na ukatili katika nchi yetu ya maziwa na asali.
Tayari tupo humo tunachuma na kuzirudisha nyang'auland...upende usipende.
 
Oh really?

Wewe una haki ya maoni na mimi nina haki ya kujibu nitakacho vilevile!

Usinipangie eti ninyamaze wewe kama nani?

Wewe Unataka haki ila wewe unapangie wengine wanyamaze kisa eti wewe umeongea??

Oh yeah?
Haki yako isikwaze wengine, unajua maana ya neno pumbavu?, unaweza kumuambia baba yako kwamba alichosema ni upumbavu?
 
Pale Kuria land pamejaa watanzania watoto wa primary school wanasomea shule za Kenya. Tena enzi zangu primary school kuna wale walikua wakitoka dar kuja hadi Migori via Namanga route. Yani hadi barabara ya kutoka dar via tz ilikua ni shida. Kwa hivo tusijidanganye apa wakati mambo kwa ground ni tofauti sana
Wanakuja kuishi au kusoma???
Utakua umelewa ww.
Wanafunz kujazana huko kwenu na suala la uraia vinahusiana nn???
 
Wanakuja kuishi au kusoma???
Utakua umelewa ww.
Wanafunz kujazana huko kwenu na suala la uraia vinahusiana nn???
Ulevi ni wewe na jamii yenu yote. Kwa akili yako punguani yakibongo huezi jiuliza kwa nini mtoto wa primary school anatoka nchi moja jadi nyingine kwa ajili ya masomo? inasema nini kuhisu hiyo taifa yenye mtoto ametoka? na sio eti kuna vita humo
 
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.
 
Kw logic kapigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si wajua tena ccm akishindwa ni matusi
Hivi mtu kusema huu ni upumbavu mtupu ndio hoja?, Kenya mumezoea kutukanana katika siasa zenu, huku hatujazoea, kwahiyo mtu akijaribu kutuletea tabia za Kenya, hata kama ni mtanzania, lazima ashikishwe adabu.
 
Haki yako isikwaze wengine, unajua maana ya neno pumbavu?, unaweza kumuambia baba yako kwamba alichosema ni upumbavu?

Upumbavu ni sifa kama ilivyo urefu au ufupi,etc!

Mfano wa baba uliotoa ni laZima nimuite hivyo kama ana sifa hiyo!

Baba ni mwanadamu kama wanadamu wengine na anawezakua punguani kama wengine,yeye kunizaa mimi hakuondoi upunguani wake kama anao!

Haki yangu iaikwaze wengine na wewe yako iaitukwaze sie wengine!

Tit-for-tat kinda deal!
 
We huna hoja...umejibiwa kiurahisi...unatema povu
Hivi mtu kusema huu ni upumbavu mtupu ndio hoja?, Kenya mumezoea kutukanana katika siasa zenu, huku hatujazoea, kwahiyo mtu akijaribu kutuletea tabia za Kenya, hata kama ni mtanzania, lazima ashikishwe adabu.
 
Tatizo wa kwenu mpka wa dar huja kusomea kenya...huoni km elimu yenu ina matatizo...

Mtanzania mwenye uwezo wa kifedha na akili zilizokomaa...mtoto wake hawez somea tanzania..
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.
 
Una tuhuma za kijinga sana!

Mipakani watu kuingiliana ni kawaida ila tuhuma ulizoweka hapo ni za kipumbavu sana!
Mwambie hata huku kuna waganda na waethiopa wanajisajili na kupiga kura kinyemela maana Wana muingiliano na watu wanaopakana nao mpakani. Huyo jamaa siku hizi amekua useless as his assholi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mbongo mpe picha tu story atamalizia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuna jamaa yangu mkenya alishaniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,kuna mwingine juzi kati tu kaniomba nimfanyie mpango anunue kiwanja bongo tena akaenda mbali zaidi yuko tayari hata kuoa dada wa kitanzania ili mradi tu atimize ndoto yake ya kuishi bongo!
 
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.

1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.

2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.

Hao tayari wapo kwenye hatua ya shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom