Mamia ya Vijana wajitolea kupigana na Waasi wa M23

Mamia ya Vijana wajitolea kupigana na Waasi wa M23

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa mashambulizi yaliyofanikiwa.

Kundi la M23, ambalo liliundwa Miaka 10 iliyopita, linadai kutetea maslahi ya Watutsi wanaoishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo dhidi ya wanamgambo wa Kihutu.

Vijana hao wameanza kupatiwa mafunzo ya Kijeshi japokuwa haijawekwa wazi yatachukua muda gani kabla ya kupelekwa vitani.

......................

Hundreds of young volunteers have responded to DR Congo's President Felix Tshisekedi's call to join the front lines and fight against the M23 rebels.

The mobilisation comes as fighting intensifies between government soldiers and the rebels in the eastern region.

The volunteers were pictured on Monday sitting on a plane bound for a training centre.

M23 rebels are now in control of large swathes of territory near the provincial capital, Goma after a string of successful attacks.

The M23, which was formed a decade ago, claims to defend the interests of ethnic Tutsis living in DR Congo against Hutu militias.

Morale was high amongst the volunteers who had stepped up to join the offensive against the rebels.

Much of the recruitment took place across the North Kivu province. It is unclear how long the training will take before the volunteers are deployed to the front lines.

Source: BBC
 
Watakuwa mafunzoni kwa kipindi cha mwaka mmoja. Nadhani hawa vijana 2000 wanaandaliwa kuja kulinda maeneo hayo baada ya kuwa hao waasi wa M23 na vikundi vingine kuwa vimeondolewa. Sio kutumia njia za PUTIN,za kuwatoa watu sadaka,unachukua teja mtaani unampeleka vitani, mfungwa naye hivyo hivyo.
 
Awamu hii sasa wameamua,kwani kiongozi wa nchi sasa hana vinasaba vyovyote na RWANDA, na hata huko jeshini wale makamanda wenye asili ya wanyarwanda wanaondolewa, kwani ndio wasaliti wenyewe. Hawa vijana 2000 wakimaliza mafunzo na kutawanywa huko, Mashariki mwa congo watasaidia sana.Tshekedi sasa ana anataka kumpiga mbwa anajua kabisa mwenye mbwa lazima atajitokeza tu,na yeye ashikilie hapo hapo tu, miaka nenda rudi njia ya mazungumzo imeshindikana hiyo. Na huo uamuzi wake umezishitua hata jumuia za kikanda sasa ndio wanaanza kutafuta suluhu?!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awamu hii sasa wameamua,kwani kiongozi wa nchi sasa hana vinasaba vyovyote na RWANDA, na hata huko jeshini wale makamanda wenye asili ya wanyarwanda wanaondolewa, kwani ndio wasaliti wenyewe. Hawa vijana 2000 wakimaliza mafunzo na kutawanywa huko, Mashariki mwa congo watasaidia sana.Tshekedi sasa ana anataka kumpiga mbwa anajua kabisa mwenye mbwa lazima atajitokeza tu,na yeye ashikilie hapo hapo tu, miaka nenda rudi njia ya mazungumzo imeshindikana hiyo. Na huo uamuzi wake umezishitua hata jumuia za kikanda sasa ndio wanaanza kutafuta suluhu?!
Duuuu
 
Watakuwa mafunzoni kwa kipindi cha mwaka mmoja. Nadhani hawa vijana 2000 wanaandaliwa kuja kulinda maeneo hayo baada ya kuwa hao waasi wa M23 na vikundi vingine kuwa vimeondolewa. Sio kutumia njia za PUTIN,za kuwatoa watu sadaka,unachukua teja mtaani unampeleka vitani, mfungwa naye hivyo hivyo.
TAZAMA HUYU DOGO WA ZAMBIA ALIVYOTOLEWA SADKA/KAFARA

Ukraine war: Lemekhani Nyirenda's Zambian family demands answers from Russia​

    • Published
      18 hours ago

Lemekhani Nyirenda
IMAGE SOURCE,ZAMBIANS IN MOSCOW/ FACEBOOK
Image caption,
Lemekhani Nyirenda
By Pumza Fihlani
BBC News, Johannesburg

The death of a 23-year-old Zambian student who had been recruited to fight for Russia in Ukraine has left the family devastated, his older sister has told the BBC.
It's not just that he has died but also the unanswered questions over the young man's brutal death in a foreign land.
Lemekhani Nyirenda was serving a drugs-related prison sentence in Russia but was freed and deployed to the front lines in Ukraine.
"We want to know how he was conscripted without his family being notified? Was he coerced?" asked Muzang'alu Nyirenda.
The family felt "robbed" by her brother's death, she added.
Zambia's Foreign Affairs Minister Stanley Kakubo announced on Monday that Mr Nyirenda, who had been studying at the Moscow Engineering Physics Institute, was serving a nine-year prison sentence for a drug offence.

He said Mr Nyirenda was killed on the front lines in September, but Russian authorities had only just informed Zambia of the death.
Mr Kakubo said that Zambia had demanded answers over the student's death and why he had been sent to Ukraine.
Most Zambians are shocked by the news, but also frustrated that the government has not shared more information to explain the circumstances that led to the student being deployed to Ukraine.
Ukraine tank
IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,
The war in Ukraine is said to have claimed tens of thousands of lives
According to Ms Nyirenda, her brother travelled to Russia in 2019 to study nuclear engineering on a government sponsorship, a partnership between the two countries which dates back many years.
"There is so much we don't know. Why didn't the Zambian government know he was being sent to war to fight?" his older sister told the BBC.
"The people that took him to that war looked down on us as a family, he was nothing to them. They used him," she said.

The drugs arrest​

Mr Nyirenda was working as a part-time courier when he was arrested in 2020 with a parcel containing drugs, his sister said.
"We believe he didn't know what was in the package he delivered, he told us he didn't. He would get text messages for pick-ups and instructions on where to deliver them," she said.
"On one occasion he was stopped by the police and searched and they found drugs in the package. He explained he was working for an online courier and didn't know about the parcels but he was arrested," Ms Nyirenda said.
The family, however, always remained hopeful that he would return home safely.
But while he was serving his term at a medium security prison he was recruited, his family believe, by the Wagner Group, a Russian mercenary group that has been conscripting prisoners to fight for Russia in Ukraine in exchange for their freedom.
In September, leaked footage showed Yevgeny Prigozhin, head of the Wagner group, outlining the rules of fighting, such as no deserting or sexual contact with Ukrainian women, and then giving the prisoners five minutes to decide if they want to sign up.

Ominously, he told the prisoners he would get them out of jail alive but said he could not promise to bring them back to alive.

They have stolen my brother​

Born to university professionals Edwin and Florence Nyirenda, Lemekhani was the youngest of four children.
Even while in prison he found a way to communicate with his loved-ones in Zambia.
The last time his parents heard from him was on 31 August on a cryptic phone call that filled them with concern.
"He told my parents: 'I am no longer in prison but where I am is confidential'. My parents were worried, we all were when he shared this. We knew he was a prisoner in a foreign country where he had no rights, we were worried about what was going but he could not share more and my parents didn't probe him further," Ms Nyirenda said.
The family notified the Zambian authorities of the odd call and were assured of an investigation into his whereabouts, but months later came the news of the young man's death.
"He was young, they stole his life away from him. He's got a twin brother, they've stolen my brother's other half," his sister said through tears.
"Lemekhani had so many plans. He was studying so he could come back and pamper my mother. He had plans to help rebuild Zambia. They've robbed us," she said.
"There is no closure, only questions. We want him home so we can lay him to rest in peace. We want him back with the people who love him but we deserve answers," said Ms Nyirenda.
His body, according to Zambian officials, has been transported to Russia's southern border town of Rostov in preparation for his repatriation to Lusaka where his family will bury him.
Further inquiries by the BBC to Zambia's ministry of foreign affairs have gone unanswered.
Zambia has taken a neutral position on the Russia-Ukraine war, like many other African countries, but says it condemns any form of war.
 
Aora wakamwage moto wakisaidiwa na wakenya na nchi zingine zitakazojitolea
Ila Kenya haelelweki, infact anaweza akaufny mzozo huu kuchukua sura mpya maana PAKA alipenyeza makachero wake katika mission ya Kenya kwakisingizio kuwa watasaidia kuonesha maeneno ,muhimu
 
Ila Kenya haelelweki, infact anaweza akaufny mzozo huu kuchukua sura mpya maana PAKA alipenyeza makachero wake katika mission ya Kenya kwakisingizio kuwa watasaidia kuonesha maeneno ,muhimu
Kapenyesaje huko mkuu?
Kwa jeshi la kenya?
 
Back
Top Bottom