Kitambulisho cha Uraia kwa kila Mtanzania ni kitambulisho kinachotakiwa kutolewa pale tu Mtanzania huyo anapozaliwa.
Na uhakika gharama ya Kitambulisho hiki kinatakiwa kilipiwe na Serikali ,mabilioni wanayolipwa wabunge kwa faida zisizo wazi yangeweza kukatwa na kulipiwa gharama za kutayarisha na kuchapicha kitambulisho cha Uraia kwa kila Mtanzania.
Hata hati ya kusafiria ni lazima kila Mtanzania awe nayo ikiwa tasafiri au hasafiri anaihitaji haihitaji ,na kutokuwa na vitu viwili hivyo iwe ni kosa kisheria.
Na waZanzibari wanapodai anaeingia Zanzibar awe na passport wanajua wazi kuwa mipaka ya Tanzania ipo wazi sana sana,kama Mtanzania anavyoweza kuingia nchi jirani bila ya kutumia kitambulisho au paasport ndivyo hivyo hivyo wengine wanavyoweza kuingia nchini kwetu.
Na tunaona wanatokea Ethiopia wanapitia Tanzania kuelekea Kusini mwa Afrika.
Wazanzibar hawajakataa waTanzania wa bara kuingia Zanzibar ,ikimaanisha anaetaka kuingia au kutoka ni lazima awe na Passport.Hivyo awe Mtanganyika au Mpemba ,vitu viwili hivi ni lazima.
Na hivyo inawezekana mkoa kwa mkoa ziwepo check point za kutazama vitambulisho asie na kitambulisho iwe ni marufuku kuingia mkoa mwengine na hapo ndipo itakapowezekana kudhibiti mambo mengi tu.
Sio polisi wanakaa njiani kuuriza iri gunia ra mkaa ra nani ?.
na hali hio inawweza kuondoka baada ya muda fulani au miaka fulani,pale vyombo vitakapo hakikisha kila Mtanzania anatembea na kitambulisho mfukoni na ndio huko majuu ,kila unemuona njiani ana kitambulisho mfukoni.
Haiwezekani watu wanakuwemo bila ya uhakika wa kuwa huyu ndie au sie ,hata vile vibanda vya kariakoo na sehemu zingine kama mtu hana kitambulisho cha utaifa asiruhusiwe kuwa na kibanda wala duka au biashala yeyote ile.
Na ndipo usalama utakapoimarika nchini.
Huna kitambulisho cha aina yeyote hufai kuwepo hata barabarani.