Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono.
Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa wala kujipendekeza kwa viongozi wanaoua na kuteka watu.
Kauli hii imeungwa mkono na Watanzania karibu wote wanaopenda Amani na kupinga uonevu