Mamiss wetu na maswal ya papo kwa papo

Mamiss wetu na maswal ya papo kwa papo

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
 
Yaani hakuna kitu hapa, wanaenda kutuaibisha hapa.
 
mie naona wote wamechemsha na maswali yao tu
 
maswali yalikua cmple lkn hawakujibu vzuri.wengine walikua wanazunguka tu huku swali lililoulizwa hawalijibu ipasavyo.
 
kWA HIYO aliyeshinda ndo huyo aliyejibu huo ushuzi duh kweli mwaka huu tunashinda miss weldi!!!!ya vilaza!!
 
waaache wajibu utumbo wao tu.................mana sidhani hata ka wana elimu dunia
 
kWA HIYO aliyeshinda ndo huyo aliyejibu huo ushuzi duh kweli mwaka huu tunashinda miss weldi!!!!ya vilaza!!

hv huyu alijibu nn vile?hebu nikumbushe.

Then huyu atakua alijua ushindi wake mapema mana hakushtuka kabisa imagine zawadi ya mil 72 usishtuke mmmh.
 
Nakubaliana na hoja zenu wote!Kweli mamiss ni wazuri wa sura na shepu, lakini HAWANA UPEO. Hakuna aliyeweza kujibu swali kwa usahihi kwa maana hiyo tutegemee MIUJIZA ''KUSHINDANA'' MISS WORLD.
 
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
Kaka kama hilo swali lime-elekezwa kwako ungejibu vipi? naomba jibu lako
 
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
Huyo anatumia masaburi pamoja na jirani yake masaburi kufikiri,
Anafikiri vita vya wenyewe kwa wenyewe vinatokana na Udini tu,
Hajui kwamba hata hivi jamaa wanavyotuyeyusha madarakani tunaweza kuamua kuingiza Libya style hapa nchini,
Mi nahisi hao wanawake kuna kinmgine wanachoshindia ukiacha vigezo watuambiavyo,
May be "kugawa"
 
Mashindano ya umiss kwa hapa kwetu ni uhuni/ magumashi mtupu! Lundenga bwana! serikali nayo haina hili wala lile
 
Achani kuwa beza warembo wetu, hata Miss World hakunamaswali yeyete ya maana , kwenye kasheshe ya maswali ni kule kwney Miss Universe hapo kwnye final question ndio kuna hatari ila Miss World is like peace of cake!. Yule Mrembo Alexia Williams alikua kawekwa na Ruge , ndio walitaka ashinde lakini ngoma ika badilika .
 
hawa mamiss wetu kwa mara ya mwisho kufaulu darasani ilikuwa ni mtihani wa darasa la nne. Baada ya hapo hamna kitu
 
Back
Top Bottom