Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Wakuu habarini za leo,
Nimeona niliweke wazi jambo hili humu ili liwafikie wahusika. Nimelala mara kadhaa maeneo ya Chamwino nikishuhudia nyama ya ng'ombe ikisambazwa mabuchani kwa mkokoteni wa chuma na mabati tena yenye kutu ingawa yalipigwa rangi. Still ukiangalia angle zote za mkokoteni kuna kutu
Je, wahusika hawalioni hili kama ni hatari kwa watumiaji wa nyama?
Ewe afisa afya hapo Chamwino tafadhali habari hii ikufikie. Biashara ya kusambazwa kwa kitoweo kwenye mkokoteni isitishwe mara moja na hatua salama zichukuliwe!!