Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ahsnt!Asante KWA taarifa tutafuatilia sisi wazalendo!
Mungu akubariki Sana!!
Wakuu habarini za leo, nimeona niliweke waz jambo hili humu ili liwafikie wahusika. Nimelala mara kadhaa maeneo ya chamwino ikulu nikishuhudia nyama ya ng'ombe ikisambazwa mabuchani kwa mkokoteni wa chuma na mabati tena yenye kutu ingaw yalipigwa rangi. Still ukiangalia angle zote za mkokoteni kuna kutu, je wahusika hawalioni hili kama ni hatari kwa watumiaji wa nyama? Ewe afisa afya hapo chamwino tafadhali habari hii ikufikie. Biashara ya kusambazwa kwa kitowea kweny mkokoteni isitishwe mara moja na hatua salama zichukuliwe!!
Inanikumbusha nzi wa chako ni chako,nilishindwa kula aisee , Dodoma kuchafu wagogo wachafu sijapata kuona na wanavyo penda nyama na uchafu wao sijui miaka ijayo maana idadi ya watu inakuwa kwa kasi sanaWakuu habarini za leo, nimeona niliweke waz jambo hili humu ili liwafikie wahusika. Nimelala mara kadhaa maeneo ya chamwino ikulu nikishuhudia nyama ya ng'ombe ikisambazwa mabuchani kwa mkokoteni wa chuma na mabati tena yenye kutu ingaw yalipigwa rangi. Still ukiangalia angle zote za mkokoteni kuna kutu, je wahusika hawalioni hili kama ni hatari kwa watumiaji wa nyama? Ewe afisa afya hapo chamwino tafadhali habari hii ikufikie. Biashara ya kusambazwa kwa kitowea kweny mkokoteni isitishwe mara moja na hatua salama zichukuliwe!!
Mkuu ni hatari san isipochukuliwa hatua za haraka! Haiwezekan nyama isambazwe kupitia mkokoteni tena wa bati zilizochoka.Inanikumbusha nzi wa chako ni chako,nilishindwa kula aisee , Dodoma kuchafu wagogo wachafu sijapata kuona na wanavyo penda nyama na uchafu wao sijui miaka ijayo maana idadi ya watu inakuwa kwa kasi sana
USSR
Cjui kama umeelewa concept yang juu ya jambo hili, kuna vyombo maalum vya kufanyia supplying ya vyakula. Mkokoteni nimeona mwenyew sio mara moja umechoka sana!Issue sio chombo cha chuma au cha kusukuma, hayo mabati kwenye magari na mkokotoni yote ni shida
Hakika ✔️Umeshafika mnadani siku ya Jumamosi.?
Nilikwendaga na jamaa siku moja ,
Jamaa ulikataa kabisa Kula nyama pale kwamba zinaandaliwa ktk mazingira machafu.
Mi nikala zangu za kutosha.
Kusema kweli na mazingira ya kule mnadani yaboreshwe
Unasema issue sio chombo cha chuma! Unajijibu tena kua mabati kweny magari na mkokoteni yote ni shida 🤣🤣🤣🤣Issue sio chombo cha chuma au cha kusukuma, hayo mabati kwenye magari na mkokotoni yote ni shida
Kazi yako kulipa kodi afiya yako juu yakoWakuu habarini za leo,
Nimeona niliweke wazi jambo hili humu ili liwafikie wahusika. Nimelala mara kadhaa maeneo ya Chamwino nikishuhudia nyama ya ng'ombe ikisambazwa mabuchani kwa mkokoteni wa chuma na mabati tena yenye kutu ingawa yalipigwa rangi. Still ukiangalia angle zote za mkokoteni kuna kutu
Je, wahusika hawalioni hili kama ni hatari kwa watumiaji wa nyama?
Ewe afisa afya hapo Chamwino tafadhali habari hii ikufikie. Biashara ya kusambazwa kwa kitoweo kwenye mkokoteni isitishwe mara moja na hatua salama zichukuliwe!!
Jinga kbs!!Kazi yako kulipa kodi afiya yako juu yako
Chakula chochote cha moto ni salama kuliwaUmeshafika mnadani siku ya Jumamosi.?
Nilikwendaga na jamaa siku moja ,
Jamaa ulikataa kabisa Kula nyama pale kwamba zinaandaliwa ktk mazingira machafu.
Mi nikala zangu za kutosha.
Kusema kweli na mazingira ya kule mnadani yaboreshwe
Utaki haya subili wakufanyie usafiJinga kbs!!