Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA.
Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
Au hatuna hakika na tabiri zetu ?