Mamlaka hali ya hewa, husikeni zaidi kwenye Ziara ya Viongozi wa Juu!!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA.



Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
 
Wawe wanaangalia taarifa ya habari mwishoni huwa wanatoa tabiri za hali ya hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…