comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti),
- Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu),
- Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa),
- Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),”
- Wakala wa Vipimo Tanzania (tozo ya uhakiki wa ujazo wa mafuta melini),
- Wakala wa Usimamizi wa Meli (tozo ya forodha)
- Mamlaka ya Serikali za Mitaa (ushuru wa huduma kwenye Halmashauri nne zenye maghala ya kupokea mafuta kwa jumla). Halmashauri hizo ni Kigamboni na Temeke za Jijini Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.