Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
  1. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti),
  2. Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu),
  3. Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa),
  4. Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),”
  5. Wakala wa Vipimo Tanzania (tozo ya uhakiki wa ujazo wa mafuta melini),
  6. Wakala wa Usimamizi wa Meli (tozo ya forodha)
  7. Mamlaka ya Serikali za Mitaa (ushuru wa huduma kwenye Halmashauri nne zenye maghala ya kupokea mafuta kwa jumla). Halmashauri hizo ni Kigamboni na Temeke za Jijini Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.
 
Toto zipi mkuu. Una uhakika ni pisi kali?
 
Watu wanakulaa vya madhabahuni ndo maandishi yanavyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…