3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
- Thread starter
-
- #21
Si ndiyo hapo mkuu pamoja kujinasibu ni mfugaji wa kuku ila nina wasiwasi kama kweli ni mfugajiKuna watu vichefuchefu wanakuja kuiharibu hoja kwa kuleta utani kwenye Mambo muhimu
Hii ndio shidaSoko limekuwa holela sana mkuu kila mtu anaingiza sokoni kila kitu bila ubora wake kuthibitishwa na hatimaye kuleta hasara kwa watumiaji na wengine kwa nguvu waliyonayo wanaweza kuhakikisha bidhaa yao ndiyo itumike kuliko nyingine hata kama haina uwezo
Hii ina maana kiliko hiyo chanjoHayo ya kufundisha usafi kwa wafugaji yaanzishie uzi wake mkuu ila leo ni kutaka kujua ufanisi wa hii chanjo ni wa uhakika kweli maana inalalamikiwa sana kuwa haifanyi vizuri kwenye kukinga
Hii ni kweli kabisa,!Unafuga kuku mazingira machafuuuu maranda unabadili mara moja kwa mwezi! Unamwagamwaga maji kunanukaaaa halafu UNATAKA TATU MOJA IKUSAIDIE kukufugia kuku!?
We tafuta mlalamishi hata mmoja mwambie mwende kwake kama atakubali! Kuna wafugaji wapuuzi sana
KABISA!TATU MOJA CHANJO NI YA UONGO,MWENYEWE KUKU ZANGU WALIISHA WOTEKABISAmwaka jana mwezi wa kumi na mbili nilipata vifaranga 30. niliwatunza vizuri bila kutumia dawa aina yoyote. walipofikisha mwezi mmoja nimewachanja kutumia tatu moja kwa usahihi kabisa. cha ajabu haukupita mwezi mmoja baada ya chanjo. kuku wote wameshijwa ndui. Tunaomba wahusika wafwatilie kwa karibu hilo swala ijulikane tatizo liko wapi.