Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue?
Pale kuna shule za ndani ndani kama Nguva na Meka. Gari zikitoka huko aidha mjini au Kimbiji kwenye mahotel speed wanayopita nayo Dege centre ni Mungu tu ndio anawanusuru watoto na watu wengine
Speed ni 80~100km nadra kukuta kapunguza. Katika barabara hata mtu mzima unakuwa makini sana ni Dege. Speed za magari kali sana. Je, mpaka ziue? Kwanini kusiwe na matuta pale shule ya Meka na Dege stand?
Wasalaam