Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Wote hao ni CCMSina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali...
Manara ananyea kambi usiku anataka alale hapohapo. Yule jamaa Nina hof na utimamu wake mbali na ustaa alionaoKama umjui Manara unaweza kuona kweli anaonewa kwa jinsi anavyotia huruma.
situation yake na tff sio yeye wa kwanza,hata kina Dauda na wengineo washakutana nayo ila ilifika wakati wakachutama,wakatii mamlaka mambo yao yakaenda vizuri...
Mwache anyooshweManara aache kuomba huruma, alipe hio faini aruhusiwe kudeal na masuala ya mpira,
Shida ya manara anawatukana watu halafu anataka hao hao wampe kula yake,
Anawaponda kina karia ila wakimbania kidogo analalamika, ajifunze kuishi duniani, na mwendo ni mmoja tu wa kinafq
Nimekusoma lakini sijakuelewa.Manara aache kuomba huruma, alipe hio faini aruhusiwe kudeal na masuala ya mpira,
Shida ya manara anawatukana watu halafu anataka hao hao wampe kula yake,
Anawaponda kina karia ila wakimbania kidogo analalamika, ajifunze kuishi duniani, na mwendo ni mmoja tu wa kinafq
Weka nukuu ya maneno yake hapaSina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF Wanakataza waandishi wa Manara TV kuingia uwanja wa taifa ku cover matukio haya haya ya ufunguzi wa AFL. Ndivyo anavyosema yeye.
Sasa hili halikubariki.
Baraza la habar, wizara na TCRA Msikilizeni kama hoja zake ni za kweli chukueni hatua haraka.
Tunapenda wajasiriamali na wawekezaji wa ndani wakue ili kujenga uchumi wetu.
Hata Waziri wa sekta hii Dr. Ndumbaro aliwahi kufungiwa,alikata rufaa akashinda wala hakuwa na nongwa na mtu sasa huyu mvuta bangi na shisha anajiona yeye ni mtu special saaana kwa mpira wa Tanzania bila yeye mpira hakuna. Haji aache upumbavu wa kulia lia kwenye mitandao hadi amefikia hatua ya kuukana Utanzania,aende huko anakoona haki yake itapatikana.Kama umjui Manara unaweza kuona kweli anaonewa kwa jinsi anavyotia huruma.
situation yake na tff sio yeye wa kwanza,hata kina Dauda na wengineo washakutana nayo ila ilifika wakati wakachutama, wakatii mamlaka mambo yao yakaenda vizuri.
shida ya Manara huwa hashindwi na hakosei,anapuyanga sana maneno.
sasa kwa Karia atatubu,Karia kile ni chuma baba!.
ππππ NyieAnatumia uzeruzeru wake kuonewa huruma
Manara nani hadi atetemekewe? Afuate sheria, kalia huko pembeni watu kimya Sasa mnaleta kilio chake JF ili? Pia usisahau kasema yeye sio mtanzania serikali ipi unayotaka imsikilize?Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF Wanakataza waandishi wa Manara TV kuingia uwanja wa taifa ku cover matukio haya haya ya ufunguzi wa AFL. Ndivyo anavyosema yeye.
Sasa hili halikubariki.
Baraza la habar, wizara na TCRA Msikilizeni kama hoja zake ni za kweli chukueni hatua haraka.
Tunapenda wajasiriamali na wawekezaji wa ndani wakue ili kujenga uchumi wetu.
Njaa imemkamata kwerikweriSina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.