The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ukitaka kushindana na Mamlaka uwe umejipanga,Si alisema Kuna Fuvu limekutwa taifa? Aendelee sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la manara yeye kila kitu anajiona yupo sahihi kila siku anakosewa yeye kipindi anamkejeli walece karia kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya viongozi wa simba na viongozi wa serikali unaona alikuwa sahihi hata wao ni binadamu mwache dawa imuingie amemwaga mboga wamemwaga ugali katukana sana watu na karia kambeba sana ila takadini hana shukran.Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF Wanakataza waandishi wa Manara TV kuingia uwanja wa taifa ku cover matukio haya haya ya ufunguzi wa AFL. Ndivyo anavyosema yeye.
Sasa hili halikubariki.
Baraza la habar, wizara na TCRA Msikilizeni kama hoja zake ni za kweli chukueni hatua haraka.
Tunapenda wajasiriamali na wawekezaji wa ndani wakue ili kujenga uchumi wetu.
Halafu mwisho akasonya ndio maana ccm walimkataa alivyoenda dodoma akaambulia kura moja akakimbia haraka sana tatizo anatumia ulemavu wake kutia hurumaKipindi kile amegombana karia akamtolea maneno kibao mchengelwa baadae ndio akaomba msamaha.
Alafu alivyo hana akili akaiita manara TV Bora angeficha identity ya jina lakeHuyu Mzee Tushamchoka......!
Hata Kuzileta humu habari zake tumechoka,
Si afanye mahojiano baina yake yeye Manara na TV yake.....Manara TV.
Anayemtaka amfuate kwenye TV yake
Asafishe kwanza domo lake chafu, mtu gani wanaongea bila mpakaSina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF Wanakataza waandishi wa Manara TV kuingia uwanja wa taifa ku cover matukio haya haya ya ufunguzi wa AFL. Ndivyo anavyosema yeye.
Sasa hili halikubariki.
Baraza la habar, wizara na TCRA Msikilizeni kama hoja zake ni za kweli chukueni hatua haraka.
Tunapenda wajasiriamali na wawekezaji wa ndani wakue ili kujenga uchumi wetu.
Hana adabu na tv yake itafanya atakacho yeye kukosa adabu.Nimekusoma lakini sijakuelewa.
Kumtukana Wallace kunahusiana vipi na kuzuia waansishi wa tv kuchukua matukio?
Kwani mpira ni wa mtu binafsi?
KAma amemtukana anachostahili ni sheria kuchukua mkondo wake na sio kufanya fitina.
Hivi unaelewa unachoandika Beberu?
Manara sio staa FUTA kauli yakoManara ananyea kambi usiku anataka alale hapohapo. Yule jamaa Nina hof na utimamu wake mbali na ustaa alionao
Kauli ya kitoto hiiHana adabu na tv yake itafanya atakacho yeye kukosa adabu.
Ahamie burundi mpuuzi huyo.
💩Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu,analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF Wanakataza waandishi wa Manara TV kuingia uwanja wa taifa ku cover matukio haya haya ya ufunguzi wa AFL. Ndivyo anavyosema yeye.
Sasa hili halikubariki.
Baraza la habar, wizara na TCRA Msikilizeni kama hoja zake ni za kweli chukueni hatua haraka.
Tunapenda wajasiriamali na wawekezaji wa ndani wakue ili kujenga uchumi wetu.
Sawa,lakini jamaa yako ni mjinga yule na wadau wa soka washampuuzaKauli ya kitoto hii
Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddiSidhani atakua anaonewa kiasi hicho...
Alipotoka Simba alitukana viongozi wengi
Uzur viongozi wetu walikaa kimya...
Tunaamin Kule aliomewa
Baada ya hpo akatukana viongozi wa juu wa mpira....Tena akashauriwa aombe msamah akakataa kabisa
Huko kote ameonewa??
Kuna mamlaka kama mahakama SI aende huko kama anayishiwa kifo???
Watu wanamchkulia mbabaishaji.
Nadhani kuna jambo linataka kutengenezwa au kuandaliwa na Manara au kundi lake. Leo alikuwa clouds jinsi yale mahojiano yalivyokuwa ni kama kuna agenda inatengenezwa maana hadi mtangazaji wa clouds akataka wanayanga waandamane kushinikiza Manara kuachiwa. Kilichonishangazq zaidi wakampigia simu Karia ilhali wanajua kabisa muda huo kuna ugeni mzito nchini na jamaa atakuwa katika pilikapilika hizo. Eti kumuuliza issue za Manara [emoji23][emoji23]
Labda hujanielewa. Kile kipindi ni mida ya saa 6 na muda huo kuna mkutano na deligation yote toka CAF na FIFA hivi kweli Karia apokee simu aanze kumzungumzia Manara kweli?Uandishi wa habari ni weledi, wamempigia Karia ili kuleta haki au "Balance" maana taasisi yake au yeye, ameshutumiwa. Hata wewe ikotokea kuna shutuma mtu kapuyanga mbele ya waandishi basi ni sharti utafutwe ili na wewe usikike na ujitetee.
Wamemtendea haki Karia yeye ndiye angesema yupo bize. Sidhani kama kumpigia Karia ni kosa japo sikubaliani na poyoyo za Haji.