Mamlaka msikilizeni Manara, inawezekana anaonewa na kuhujumiwa na TFF

Ukitaka kushindana na Mamlaka uwe umejipanga,Si alisema Kuna Fuvu limekutwa taifa? Aendelee sasa
 
Tatizo la manara yeye kila kitu anajiona yupo sahihi kila siku anakosewa yeye kipindi anamkejeli walece karia kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya viongozi wa simba na viongozi wa serikali unaona alikuwa sahihi hata wao ni binadamu mwache dawa imuingie amemwaga mboga wamemwaga ugali katukana sana watu na karia kambeba sana ila takadini hana shukran.
 
Huyu Mzee Tushamchoka......!

Hata Kuzileta humu habari zake tumechoka,

Si afanye mahojiano baina yake yeye Manara na TV yake.....Manara TV.

Anayemtaka amfuate kwenye TV yake
Alafu alivyo hana akili akaiita manara TV Bora angeficha identity ya jina lake
 
Asafishe kwanza domo lake chafu, mtu gani wanaongea bila mpaka
 
Hana adabu na tv yake itafanya atakacho yeye kukosa adabu.
Ahamie burundi mpuuzi huyo.
 
💩

Yale majigambo yameisha?
 
Sidhani atakua anaonewa kiasi hicho...

Alipotoka Simba alitukana viongozi wengi
Uzur viongozi wetu walikaa kimya...
Tunaamin Kule aliomewa

Baada ya hpo akatukana viongozi wa juu wa mpira....Tena akashauriwa aombe msamah akakataa kabisa

Huko kote ameonewa??

Kuna mamlaka kama mahakama SI aende huko kama anayishiwa kifo???

Watu wanamchkulia mbabaishaji.
 
Nenda YouTube au tafuta zile clip za kejeli na kashfa kuanzia Barbara hadi karia halafu urudi kuendelea Uzi wako hapa.
Huyo ni mwehu.
 
Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi
 
Nadhani kuna jambo linataka kutengenezwa au kuandaliwa na Manara au kundi lake. Leo alikuwa clouds jinsi yale mahojiano yalivyokuwa ni kama kuna agenda inatengenezwa maana hadi mtangazaji wa clouds akataka wanayanga waandamane kushinikiza Manara kuachiwa. Kilichonishangazq zaidi wakampigia simu Karia ilhali wanajua kabisa muda huo kuna ugeni mzito nchini na jamaa atakuwa katika pilikapilika hizo. Eti kumuuliza issue za Manara [emoji23][emoji23]
 

Uandishi wa habari ni weledi, wamempigia Karia ili kuleta haki au "Balance" maana taasisi yake au yeye, ameshutumiwa. Hata wewe ikotokea kuna shutuma mtu kapuyanga mbele ya waandishi basi ni sharti utafutwe ili na wewe usikike na ujitetee.
Wamemtendea haki Karia yeye ndiye angesema yupo bize. Sidhani kama kumpigia Karia ni kosa japo sikubaliani na poyoyo za Haji.
 
Labda hujanielewa. Kile kipindi ni mida ya saa 6 na muda huo kuna mkutano na deligation yote toka CAF na FIFA hivi kweli Karia apokee simu aanze kumzungumzia Manara kweli?
Seriously kabisa
Na Karia akapokea akawajibu ila kwakuwa nadhani sio jibu ambalo hawakulitaka bado wakaanza kuhoji. Nenda YouTube utajua ninachokaanisha
 
Tuzingatie sanaa kauli tunazotoa....Huwa Zina adhari hapo mbeleni...Manara alikosea sanaa kutafuta fame kwa kuongea hata amabayo c ya kwel ili tu kuwathibitisha Wana yanga kuwa yeye katoka Simba....madhara yake ndo tunayaona sasa hivi ...Hana Tena jipya,akiangalia huku ni kama dogo ka cover eneo lake japo c kwa kiwango hicho....qmebakia sasa kutia tia huruma
 
Manara aliharibu hadi kwa Mchengerwa full kuropoka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo hata wale waliokuwa wanataka kutoa back up wakarudi nyuma kumwachia msala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…