Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 686
Habari
Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted
Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa
Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida hata unaweza kupitilizwa kituo
Mnaficha ficha hili sio sawa Mamlaka zitusaidie tafadhari
Picha hizo ni mchana huu