Akikujibu nitagUnaathirikaje na hizo tinted mkuu?
vituoNje unataka uone nini?
vituo
Sio konda wote wana tabia hiyo...alafu gari likiwa mtingo ngum kumsikia ukiwa mbali...Bora upigwe jua ila ufike vizuri kuliko kukaa kwenye kiyoyozi alafu upitilizwe kituoKonda si anatangaza vituo..
Hizo tinted zinazuia jua
Daladala za mwanza ni vile vibanda vya simu. Mtingo gani unaongeleaSio konda wote wana tabia hiyo...alafu gari likiwa mtingo ngum kumsikia ukiwa mbali...Bora upigwe jua ila ufike vizuri kuliko kukaa kwenye kiyoyozi alafu upitilizwe kituo