Mamlaka ya Hali ya hewa Kenya yadai mvua inayotakiwa kunyesha nchini humo imekwama Tanzania

Lugha waliyotumia inalenga kuleta mgawanyiko kwenye jamii!
Tena ni uchochezi wa hali ya juu kutaka jamii isitawalike!
Naomba mamlaka husika ziwachukulie hatua kali haraka iwezekanavyo!

Cc @magufuli [emoji23][emoji23]
 
Wanataka kuchakaaaaa

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kweli sie wababe! hatuachii mpaka mseme shikamoo.
 
kama wanayaona inatosha sio mpaka wayamiliki
reference: ml. kilimanjaro

python.
 
Inawezekana
Inawezekana huyu afisa ni wa hapa mtandaoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…