Mamlaka ya Hali ya hewa Kenya yadai mvua inayotakiwa kunyesha nchini humo imekwama Tanzania

Mamlaka ya Hali ya hewa Kenya yadai mvua inayotakiwa kunyesha nchini humo imekwama Tanzania

Kweli kabisa mkuu,tutamuagiza waziri wetu wa kusafiri poropesa kabugi akakusanye kodi yetu huko.Ila wakenya mkilipa daini risiti tena efd siyo ya mkono
Haiwezekan mvua itoke kwetu ikanyeshe kwao afu wasiilipie kodi ..heko jpm kwa uongoz imara na msimamo wako wakuizuia kwa maendeleo ya wakulima wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Tanzania waliwahi kusema mvua yetu imevutwa na mafuriko ya Msumbiji.
 
Idara ya hali ya anga nchini Kenya inasema kuwa kiangazi kitaendelea hadi mwisho wa mwezi huu huku upepo wa mvua ukisalia nchini Tanzania kutokana na kiwango cha chini cha upepo.
Mvua ndefu itaanza kunyesha katika maeneo mengi ya Kenya ifikiapo miwsho wa mwezi huu, wataalam wa hali ya anga wamesema.
Kaimu mkurugenzi wa shirika la hali ya anga nchini Kenya Stella Aura alielezea kwamba upepo wenye mvua umekwama nchini Tanzania kutokana na shinikizo ya kiwango cha chini ambayo haiwezi kuisukuma mvua hiyo kuelekea kaskazini mwa Kenya.
Mwezi Aprili ndio mwezi wa mvua ndefu nchini Kenya na onyo limetolewa katika maeneo kadhaa ya Kenya kuhusu kuchelewa kwake.
”Mvua ya msimu husababishwa na upepo wa mvua unaoelekea kaskazini lakini kufikia sasa upepeo huo haujaelekea kaskazini”, aliambia vyomb vya habari.”Mvua imekwama nchini Tanzania, mifumo ya upepo iliopo kusini haijashikamana kuweza kusukuma mawingu hivyobasi mvua itachelewa , lakini mvua itaanza kunyesha mwisho wa mwezi huu”, alisema.
Source: BBCView attachment 1069165View attachment 1069166
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako sahihi, mbona wetu waliposema mvua iliyotakiwa kunyesha imekwama Msumbiji haukusema!
Acha siasa za kijinga
 
Idara ya hali ya anga nchini Kenya inasema kuwa kiangazi kitaendelea hadi mwisho wa mwezi huu huku upepo wa mvua ukisalia nchini Tanzania kutokana na kiwango cha chini cha upepo.
Mvua ndefu itaanza kunyesha katika maeneo mengi ya Kenya ifikiapo miwsho wa mwezi huu, wataalam wa hali ya anga wamesema.
Kaimu mkurugenzi wa shirika la hali ya anga nchini Kenya Stella Aura alielezea kwamba upepo wenye mvua umekwama nchini Tanzania kutokana na shinikizo ya kiwango cha chini ambayo haiwezi kuisukuma mvua hiyo kuelekea kaskazini mwa Kenya.
Mwezi Aprili ndio mwezi wa mvua ndefu nchini Kenya na onyo limetolewa katika maeneo kadhaa ya Kenya kuhusu kuchelewa kwake.
”Mvua ya msimu husababishwa na upepo wa mvua unaoelekea kaskazini lakini kufikia sasa upepeo huo haujaelekea kaskazini”, aliambia vyomb vya habari.”Mvua imekwama nchini Tanzania, mifumo ya upepo iliopo kusini haijashikamana kuweza kusukuma mawingu hivyobasi mvua itachelewa , lakini mvua itaanza kunyesha mwisho wa mwezi huu”, alisema.
Source: BBCView attachment 1069165View attachment 1069166
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata huku ilipokwama hainyeshi, kwani TMA wanasemaje?
 
Basi tutawauzia mahindi na mchele wasiwe na wasiwasi kenya ni ndugu zetu
 
Wanajidai uchumi wao uko juu kumbe wakwepa kodi wakubwa.Mwaka huu lazima muisome kama halipi kodi na malimbikizo yake mvua yetu tutaipeleka hata congo kwani nini bwana,Tra wakadirieni hawa kama akashia vile waone kuwa tz kuna serekale kwelikweli wanamletea ujuaji JPJM atamtumbua mpaka rahisi wao yule waripe kodi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaimu mkurugenzi wa shirika la hali ya anga nchini Kenya Stella Aura alielezea kwamba upepo wenye mvua umekwama nchini Tanzania kutokana na shinikizo la kiwango cha chini ambalo haliwezi kuisukuma mvua hiyo kuelekea kaskazini mwa Kenya.

''Mvua imekwama nchini Tanzania, mifumo ya upepo iliopo kusini haijashikamana kuweza kusukuma mawingu hivyo basi mvua itachelewa , lakini mvua itaanza kunyesha mwisho wa mwezi huu'', alisema.
Mwezi Aprili ndio mwezi wa mvua ndefu nchini Kenya na onyo limetolewa katika maeneo kadhaa ya Kenya kuhusu kuchelewa kwake.

''Mvua ya msimu husababishwa na upepo wa mvua unaoelekea kaskazini lakini kufikia sasa upepeo huo haujaelekea kaskazini'', aliambia vyomb vya habari.

Mvua ndefu hunyesha miezi ya Machi, Aprili, na Mei hususan katika eneo la magharibi , bonde la Ufa na mkoa wa kati na ni muhimu sana katika sekta ya kilimo hatua inayosababisha kuwepo kwa chakula cha kutosha.

Source: BBC Swahili!
 
Baada ya vuta nkuvute ya muda mrefu watanzania wameamua kukwamisha mawingu yanayoelekea kenya wachambuzi wa maswala ya kisiasa wanasema hili ni jambo la hatar kuwahi kutokea nA hivyo wanamwachia rais wa kenya afanye maamuzi kwan tanzanja haivumiliki iliuchukua mlima kilimanjaro na sasa imeamua kuzichukua mvua za kenya chanzo bbc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Huwa wanajidai wajanja kwa kila kitu hawa jirani zenu asa m nashangaa kitu kdg kama hicho tu kinawashinda bhn Anko Magu ruhusu tu hzo mvua ziende wasije kufa njaa wakasingzia nchi yang Tanzania maana hawachelew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom