Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia.

Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua.

All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito linayeyuka na jua linatoka likiwa kali. Leo ni observation ya tatu!

Hali hiyo inaletwa na nini? scientific explanation ni ipi?
 
Upo mkoa gani!!?

Na maana yangu!!

Kama upo Pwani hasa Dar jiandae!!

Kama ni dom au pande nyingine jiandae IPO siku kimbunga plus stones of snow zitashuka Kwa sana!!
 
Kumbe ume observe hilo, juzi hali ya hewa ilisimamia kucha nilikimbiza pkpk kuwah home ile nafika kunapambazuka dah nlitukana ma2c yote, jana same leo pia hadi radi zikasikika ila wapi
 
Kumbe ume observe hilo, juzi hali ya hewa ilisimamia kucha nilikimbiza pkpk kuwah home ile nafika kunapambazuka dah nlitukana ma2c yote, jana same leo pia hadi radi zikasikika ila wapi
exactly! the same scenario here
 
Hali hi imenikumbusha kipindi nipo mkoa wa njombe, wale jamaa walikuwa wanaifukuza wakiona itaharibu harakati zao, wanaipeperushia mbali huko, sema huwa inapeperuka na kuacha radi na upepo mkali
exactly! the same scenario h
 
Mvua inafukuta hapa dar mvua ni kubwa mida hii kubwa haswa non stop
 
Halafu ikifika mida hyohyo usiku inanyesha kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…