Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia.

Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua.

All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito linayeyuka na jua linatoka likiwa kali. Leo ni observation ya tatu!

Hali hiyo inaletwa na nini? scientific explanation ni ipi?
Uko nchi gani au mkoa gani ambapo baada ya saa 9:00 jioni jua linatoka?
 
Ni hivi, kunakucha na jua kali, majira ya saa 9 kueleka kumi linatanda wingu kuba as if mvua itanyesha any moment , tena mvua kubwa. Watu tunakimbizana kuwahi kutafuta pa kujikinga mvua kama uko barabarani/au unatoa vitu vyote nje na kuviingiza ndani visilowe. All of a sudden wingu lianyeyuka na juka kali linatoka tena..... understsnd?
 
Yes, understood. Mkuu ni mkoa gani huko?
 
Back
Top Bottom