Mamlaka ya Hali ya Hewa toeni taarifa iliyo sahihi

Mamlaka ya Hali ya Hewa toeni taarifa iliyo sahihi

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara.

Matokeo ya taarifa hii ikawa ni tofauti kabisa.

Kulikuwa na jua kali licha ya taarifa yao. Nawashauri kuwa toeni taarifa iliyo sahihi ili wananchi tuwe tayari kwa matokeo ya taarifa yenu.
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara...
Ile taasisis ni takataka, ni kula hela za serikali/wananchi bila output yoyote!
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara...
Unajua maana ya utabiri? unaweza kutokea au usitokee
 
Tma ni mwanadamu mungu pekee ndie anayejua wao wanatabir tu hawajui
 
Back
Top Bottom