Leo tarehe 10.9.2024 Mzee Butiku amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu sintofahamu zinazoendelea hapa nchini.
Kwanza nikupongeze sana Mzee Butiku kwa busara, hekima zako kwa kuishauri Mamlaka kwa yanayoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu.
Mzee ameshauri kwa Mamlaka ya juu ya nchi kuwa wale wote ambao wanasimamia vyombo vya usalama WAWAJIBIKE kwa tukio la aibu lililotokea hivi majuzi.
Watanzania tudumishe Amani, upendo na mshikamano.
PIA SOMA
- Joseph Butiku: Vyombo vya ulinzi na usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini