vyombo vya dola tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vyetu vya usalama havikuua, aliyeua ni yule aliyeviamrisha viue. Ni nani huyo aliyeviamrisha? Tuanzie hapo

    Bila amri, vyombo vya usalama ie polisi, jeshi, TISS, Magereza, etç haviwezi kuua. Nani aliviamrisha viué? Definitely ni wakubwa wa juu wa vyombo hivyo. 1. Rais 2. CDF... 3. IGP na wakuu wenzake RCO, ZCO etc etc....etc 4. DGIS 5. Magereza 6. Na wengine..... Shida iko hapa: Nani amfunge paka...
  2. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Wito kwa mashabiki wa soka Tanzania kuomboleza kwa pamoja mauaji yaliyofanywa na vyombo vya Dola Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani, Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi mwa vyombo vya dola wakati wakisimama kudai haki zao za kidemokrasia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini. Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Funzo zuri kutoka Afrika Kusini: Vyombo vya Dola Tanzania vikatae Wanasiasa kuwa juu yao na kuingilia kazi zao

    Wiki hii nchini Afrika Kusini kuna habari nzito inatamba kuhusu Mkuu wa Polisi wa Jimbo la Kwa Zulu Natal Luteni Generali Nlanhia Mkhwanazi kumsema waziwazi mbele ya vyombo vya habari Waziri wa Masuala ya Polisi wa Afrika kusini kujihusisha na magenge ya kihalifu. Mkuu huyu wa Polisi alifikia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

    Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea. Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema "kwenye wengi kuna mengi" Binafsi sishangazwi sana na mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye mitandao...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, wananchi wanaimani kubwa na vyombo vya dola kama alivyo onyesha Rais?

    Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi. Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais? Soma Pia: Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya juu uufanyie kazi ushauri wa Mzee Butiku

    Leo tarehe 10.9.2024 Mzee Butiku amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu sintofahamu zinazoendelea hapa nchini. Kwanza nikupongeze sana Mzee Butiku kwa busara, hekima zako kwa kuishauri Mamlaka kwa yanayoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mzee ameshauri kwa Mamlaka ya juu ya nchi kuwa wale...
  8. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Kama Vyombo vya Dola vingekuwa vinazingatia Sheria na Mfumo wa Haki Jinai wasingekuwa wanahusishwa na matukio ya utekaji

    Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu ni mbaya kuliko wakati wowote ule katika historia yetu walau kwa kipindi cha miaka ishirini...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
Back
Top Bottom