Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Wanataka kututoa kwenye reli! "NO REFORM,NO ELECTION"Kilograms milioni 2.3 yaani tani Elfu 23? Haya madawa yamehifadhiwa wapi? Lini yaliteketezwa? Yaani mzigo huu ni wa kubebwa na malori karibia mia moja na hamsini ya tani 15 kila moja. Huu ni uongo mkuu.
Watanzania wa Sasa siyo wajinga
Huoni hapo mwisho amempigia chapuo HAngaya na app yake?Hizi data Zina harufu ya upikwaji
Huoni hapo mwisho amempigia chapuo HAngaya na app yake?
Lengo lilikuwa kuitangaza hiyo app sasa alijua akiweka tangazo la app lenyewe kama lenyewe watu makini wasingeweza kufungua uzi wake so akaona achombeze na habari ya kuokoteza yenye mashiko ambayo kiuhalisia haina maana.
Madawa ya Kulevya yana include Bangi na Mirungi, na sio "unga" pekee. Shamba moja tu la Bangi ama Basi likikamatwa na Mirungi mzigo unakua si wa kitoto.Kilograms milioni 2.3 yaani tani 2300? Haya madawa yamehifadhiwa wapi? Lini yaliteketezwa? Yaani mzigo huu ni wa kubebwa na malori karibia 130 ya tani 15 kila moja. Huu ni uongo mkuu.
Watanzania wa Sasa siyo wajinga