dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Mimi hua ninaamini kwamba, sio kila anae weza kuendesha gari ni dereva.Unakuta jitu lipo lipo limejaza kitambi lkn basics za barabarani halijui hata kidogo. Jitu limeblock barabara na wala halioni shida. Jitu limekukuta umepaki sehemu linakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka uliite! Mbaya zaidi wakati linapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana na uzi tayari
Jiwe gizaniJitu linaandika hovyo.
Pole SanaUnakuta jitu lipo lipo limejaza kitambi lkn basics za barabarani halijui hata kidogo. Jitu limeblock barabara na wala halioni shida. Jitu limekukuta umepaki sehemu linakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka uliite! Mbaya zaidi wakati linapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana na uzi tayari
Inaudhi, kuna siku nilitaka kutoroka sehemu mtu kaniblock na huwezi kumuitaMkuu mbona umeandika kwa hasira sana?
Ndo maana yule mwanasiasa alimpasua mtu na chumaPole Sana
Ni dharau tu
Uzi huu umewalenga watu wenye vitambi tu.Unakuta jitu lipo lipo limejaza kitambi lkn basics za barabarani halijui hata kidogo. Jitu limeblock barabara na wala halioni shida. Jitu limekukuta umepaki sehemu linakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka uliite! Mbaya zaidi wakati linapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana na uzi tayari
angeipiga Chen aivute tuu🤣au ataharibu giabox?🤭Uzi huu umewalenga watu wenye vitambi tu.
Kubali tu kitambi kinakusumbuaUlivyo andika "kitambi" umekosa maana, unawasiwasi si ajabu hata hilo gari huna!!😳
Nb: sina kitambi ila kuna watu wenye vitambi na heshima zao
Hapana wote wasio tumia akiliUzi huu umewalenga watu wenye vitambi tu.
Unatamani ulipige kerbuKama muhimbili mule ndani baadhi ya maeneno watu wana park hovyo hovyo ushamaliza shughuli zako unafika parking unakuta gari imeblock kutoka haiwezekani inabidi usuburi linakuja jamaa linajichekesha chekesha kuondoa gari yake kama demu
Khee, Siku hizi una mke na gari umenunua! kweli dunia duara.Mimi hua ninaamini kwamba, sio kila anae weza kuendesha gari ni dereva.
Kwamfano, wife ananuonga chuma daily kwenda job lakini hiyo haijatosha kusema kwamba wife ni dereva.
Kwanza hongera kwa kumiliki usafiri.Unakuta jitu lipo lipo limejaza kitambi lkn basics za barabarani halijui hata kidogo. Jitu limeblock barabara na wala halioni shida. Jitu limekukuta umepaki sehemu linakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka uliite! Mbaya zaidi wakati linapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana na uzi tayari
Ukute una IST. Mna dharau sana nyieUnakuta jitu lipo lipo limejaza kitambi lkn basics za barabarani halijui hata kidogo. Jitu limeblock barabara na wala halioni shida. Jitu limekukuta umepaki sehemu linakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka uliite! Mbaya zaidi wakati linapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana na uzi tayari
AhsanteKwanza hongera kwa kumiliki usafiri.
Nna pikipiki, hapo vipi?Ukute una IST. Mna dharau sana nyie