Jaquelines
New Member
- Jul 28, 2022
- 4
- 3
Nimelipa gharama za kufungiwa maji na vifaa nimenunua tangu tarehe 2 January 2024 lakini wanazungushana kutoa mita.
Mhasibu anasema mpaka fundi aje na fundi anasema mpaka aitwe kwenye kazi. Kama vile hakuna ushirikiano wa kazi lakini wao ofisi moja.