KERO Mamlaka ya Maji Mbeya wanazidisha dawa ya kutibu maji na kupelekea yapoteze ladha

KERO Mamlaka ya Maji Mbeya wanazidisha dawa ya kutibu maji na kupelekea yapoteze ladha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.

Ukinywa maji hutamani kunywa tena.

Wizara ya Maji
Huku Goba Dar es Salaam hawaweki kabisa kuna siku Bomba zinavuja tope.
 
Hivi mbeya kuna watu mnapata maji ya serikali kweli?. Idara ya maji hasa mbeya walishashindwa kazi kitambo sana.

Kwa siku hizi kama unajenga popote kwa Tanzania hii,kama unavyopiga hesabu ya choo kwenye ujenzi wako,basi muhimu sana upigie hesabu na pamoja na kisima.

Naamini idara ya maji kokote Tanzania inaenda kupotea mazima.
 
Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.

Ukinywa maji hutamani kunywa tena.

Wizara ya Maji
Hili mm nililigundua mapema na sikuwa na jinsi ikabidi nitafute sehemu ilipo chem chem ya maji hata kama ni mbali kiasi gani niwe naenda kuchota maji ya kunywa, ni gharama lakini inanibidi
 
Back
Top Bottom