A
Kwa Nini?Maji hayatakiwi yawe na radha.
Pure water ni colorless, tasteless na odorless. Wakizidisha chlorine na madawa mengine ndio shida inaanzia hapo. Watumiaji walio jirani na plant ndio wanapata shida zaidi.Kwa Nini?
Yana radha yake.Maji hayatakiwi yawe na radha.
Mitano Tena!Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa maji hutamani kunywa tena.
Wizara ya Maji
Haaahaa 😊Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa maji hutamani kunywa tena.
Wizara ya Maji
Huku Goba Dar es Salaam hawaweki kabisa kuna siku Bomba zinavuja tope.Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa maji hutamani kunywa tena.
Wizara ya Maji
Waelekeze Hilo Bomba lipeleke hayo maji Magogoni,yule bibi akutane nayoHuku Goba Dar es Salaam hawaweki kabisa kuna siku Bomba zinavuja tope.
Hili mm nililigundua mapema na sikuwa na jinsi ikabidi nitafute sehemu ilipo chem chem ya maji hata kama ni mbali kiasi gani niwe naenda kuchota maji ya kunywa, ni gharama lakini inanibidiIdara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa maji hutamani kunywa tena.
Wizara ya Maji