A
Anonymous
Guest
Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi kwamba usomaji wake hauonekani.
Sijui hiyo bili imetolewa kwa msingi gani, wamefanyaje usomaji wa mita, au ni zile bili zinazodaiwa kubambikiziwa wateja.
Hali hii inatia wasiwasi na inahitaji mamlaka husika kutoa ufafanuzi ili kuondoa malalamiko ya wananchi.