Uko wapi unapata maji? Jirani na Mtanda? Naambiwa Buhongwa, Bulale, yalitoka siku waziri alivyokuja, akaondoka nayo! Wiki mbili zilizopita akaonekana meneja wa kabda ya Nyegezi, wananchi wakamwambia watawapiga mipini wasoma mita kwani maji hakuna na bill kubwa!
Kesho yake yakafunguliwa kutwa moja. Tabgu hapo, zaidi ya wiki na nusu hakuna maji na kizuri zaidi, waheshimiwa hawa watoi taarifa.
Walivyo ni kama wananchi wanajipendejeza kwao ili wapate haki yao ya maji.