milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Wasipochukua hatua,tuta waandika hadi watakimbia maofisini! Trust meMkuu waandikie barua MUWSA, maana watasema, hawafanyii kazi malalamiko ya mitandao ya kijamii.
Mkuu waandikie barua MUWSA, maana watasema, hawafanyii kazi malalamiko ya mitandao ya kijamii.
Lipa bill ya maji kwa wakati,tuacheni janja janjaMamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama.
Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa.
Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo haikubaliki na haitakubalika.
Mmeanzisha mtindo wa kutuma bill za maji kwa njia ya simu (SMS), ambapo tatizo limeanzia hapa. Unakuta SMS ya bill inayotumwa kwa mteja, na SMS hiyo hiyo ni notice ya kukatiwa maji.
Kwa watumiaji wa maji, hii mbinu au sheria tunaikataa na haikubaliki hata kidogo.
Unakuta unatumiwa bill kupitia simu, ukiwa njiani, ukifika nyumbani unakuta maji yamekatwa!
Ukiwauliza, wanakujibu kuwa walisha kupatia notice ya kukatiwa maji.
Kwa hali hii, haikubaliki, na tunaomba bill za maji zitenganishwe na notice za kukatiwa maji.
Hii ni hatari kubwa na uonevu mkubwa sana.
Kilio hiki kinawafanya wananchi kuichukia serikali yao na kujiona kama wakimbizi ndani ya nchi yao
. Wakati huu, wananchi wanakaribia kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na watatumia hasira ya sheria hii mbovu kuiondoa serikali madarakani, kwa sababu ya watu wachache wasio na uchungu na raia wao.
Kutenganisha bill za maji na notice za kukatiwa maji si suala la hiari; ni lazima ili kuhakikisha uwazi na uaminifu katika huduma za maji.
Mteja anapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa ni kiasi gani anachotakiwa kulipa na kwa nini, bila kuwa na wasiwasi wa kukatwa maji bila taarifa ya kutosha.
Hili linahitaji mabadiliko ya dhati katika jinsi mamlaka inavyowasiliana na wateja wake.
Ni muhimu kwa mamlaka ya maji kuelewa kuwa huduma za maji ni haki ya msingi kwa kila raia.
Wananchi wanapaswa kupata maji safi na salama bila vikwazo vya aina yoyote.
Hivyo, ni jukumu la mamlaka kuhakikisha kuwa huduma hizi zinapatikana kwa urahisi na kwa uwazi.
Mteja hapaswi kuhisi kama anashindwa kupata huduma anazostahili kwa sababu ya ukosefu wa mawasiliano mazuri na mamlaka.
Mamlaka ya maji inapaswa kujifunza kutokana na malalamiko haya na kuchukua hatua za haraka.
Kuweka mfumo wa wazi ambao unawapa wateja taarifa sahihi kuhusu bili zao na mchakato wa kukata maji ni muhimu.
Hii itasaidia kuondoa wasiwasi na kuimarisha uhusiano kati ya mamlaka na wateja.
Wakati wa uchaguzi wa 2025 unakaribia, ni muhimu kwa serikali na mamlaka husika kuelewa kuwa matendo yao yanaweza kuwa na athari kubwa.
Wananchi wanapoona kuwa hawatendewi haki, wanaweza kuchukua hatua za kisiasa ambazo zitawaathiri wote.
Ni muhimu kwa viongozi wa maji na serikali kwa ujumla kuelewa kwamba huduma bora za maji zitawajenga na kuimarisha uhusiano mzuri kati yao na wananchi.
Kwa kumalizia, tunasisitiza tena kwamba bill za maji zinapaswa kutenganishwa na notice za kukatiwa maji.
Tunataka mamlaka ya maji ishirikiane na wananchi kwa uwazi na kwa heshima.
Hii ni fursa ya kuboresha huduma na kujenga uaminifu kati ya mamlaka na jamii.
Tunatarajia mabadiliko ya haraka ili kuhakikisha kuwa wote wanapata haki zao za msingi za kupata maji safi na salama bila matatizo yoyote.
MUWSA KAMA NI KWELI, HILI LA BILI YA MAJI, KUWA NDIO NOTICE YA KUKATIWA MAJI, MMEINGIA CHOO CHA KIKE😂Lipa bill ya maji kwa wakati,tuacheni janja janja
Ukweli ni kwamba kwenye notification ya bill ya maji huwekwa deadline ya kulipa na ujumbe kuwa ulipe kabla ya muda huo kuepuka kukatiwa hudumaM
MUWSA KAMA NI KWELI, HILI LA BILI YA MAJI, KUWA NDIO NOTICE YA KUKATIWA MAJI, MMEINGIA CHOO CHA KIKE😂
Hundreds percent sure Kwanza Moshi mpaka Ethiopia sio mbali .visima sio lazima kuchimba tunaweka matank pale Kenya ya kupokea maji .Uzur mwingine NI kwamba maji hayapotei Kama umeme kwahiyo hasara ya Ethiopia haituhusu. Lucas MwashambwaKero ya Maji na Umeme ni balaa kila mkoa kuna vilio.
Sasa umeme tumeshapata ufumbuzi, tutanunua Ethiopia.
Nishauri serikali ikanunue maji kutoka Mto Nile Egypt
Ndg.......... Ac........ Mita Na. ........Ukipewa bill lipa kabla ya muda kuisha kuepusha usumbufu
Ndg.......... Ac........ Mita Na. ........Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama.
Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa.
Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo haikubaliki na haitakubalika.
Mmeanzisha mtindo wa kutuma bill za maji kwa njia ya simu (SMS), ambapo tatizo limeanzia hapa. Unakuta SMS ya bill inayotumwa kwa mteja, na SMS hiyo hiyo ni notice ya kukatiwa maji.
Kwa watumiaji wa maji, hii mbinu au sheria tunaikataa na haikubaliki hata kidogo.
Unakuta unatumiwa bill kupitia simu, ukiwa njiani, ukifika nyumbani unakuta maji yamekatwa!
Ukiwauliza, wanakujibu kuwa walisha kupatia notice ya kukatiwa maji.
Kwa hali hii, haikubaliki, na tunaomba bill za maji zitenganishwe na notice za kukatiwa maji.
Hii ni hatari kubwa na uonevu mkubwa sana.
Kilio hiki kinawafanya wananchi kuichukia serikali yao na kujiona kama wakimbizi ndani ya nchi yao
. Wakati huu, wananchi wanakaribia kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na watatumia hasira ya sheria hii mbovu kuiondoa serikali madarakani, kwa sababu ya watu wachache wasio na uchungu na raia wao.
Kutenganisha bill za maji na notice za kukatiwa maji si suala la hiari; ni lazima ili kuhakikisha uwazi na uaminifu katika huduma za maji.
Mteja anapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa ni kiasi gani anachotakiwa kulipa na kwa nini, bila kuwa na wasiwasi wa kukatwa maji bila taarifa ya kutosha.
Hili linahitaji mabadiliko ya dhati katika jinsi mamlaka inavyowasiliana na wateja wake.
Ni muhimu kwa mamlaka ya maji kuelewa kuwa huduma za maji ni haki ya msingi kwa kila raia.
Wananchi wanapaswa kupata maji safi na salama bila vikwazo vya aina yoyote.
Hivyo, ni jukumu la mamlaka kuhakikisha kuwa huduma hizi zinapatikana kwa urahisi na kwa uwazi.
Mteja hapaswi kuhisi kama anashindwa kupata huduma anazostahili kwa sababu ya ukosefu wa mawasiliano mazuri na mamlaka.
Mamlaka ya maji inapaswa kujifunza kutokana na malalamiko haya na kuchukua hatua za haraka.
Kuweka mfumo wa wazi ambao unawapa wateja taarifa sahihi kuhusu bili zao na mchakato wa kukata maji ni muhimu.
Hii itasaidia kuondoa wasiwasi na kuimarisha uhusiano kati ya mamlaka na wateja.
Wakati wa uchaguzi wa 2025 unakaribia, ni muhimu kwa serikali na mamlaka husika kuelewa kuwa matendo yao yanaweza kuwa na athari kubwa.
Wananchi wanapoona kuwa hawatendewi haki, wanaweza kuchukua hatua za kisiasa ambazo zitawaathiri wote.
Ni muhimu kwa viongozi wa maji na serikali kwa ujumla kuelewa kwamba huduma bora za maji zitawajenga na kuimarisha uhusiano mzuri kati yao na wananchi.
Kwa kumalizia, tunasisitiza tena kwamba bill za maji zinapaswa kutenganishwa na notice za kukatiwa maji.
Tunataka mamlaka ya maji ishirikiane na wananchi kwa uwazi na kwa heshima.
Hii ni fursa ya kuboresha huduma na kujenga uaminifu kati ya mamlaka na jamii.
Tunatarajia mabadiliko ya haraka ili kuhakikisha kuwa wote wanapata haki zao za msingi za kupata maji safi na salama bila matatizo yoyote.
Ndugu. .....Ndg.......... Ac........ Mita Na. ........
Bili ya mwezi January/2025 ni Tsh......... EWURA (1%) Tsh. ...... jumla ya Bili Tsh. ...... . Usomaji wa ........01-2025 ......usomaji uliopita ....... Matumizi .......
Namba ya malipo.........lipa bili yako mapema, BILI HII NI NOTISI. (Piga 0800110074 bure).
Bill hii ni notice ya kukatiwa majiNdugu. .....
A/C: B4530000.....
Ankara ya Februari/2025
Jumla ya Deni(Tsh): .......
Namba ya Malipo ni 9945.....
Usomaji wa sasa 13
Uliopita 11
Matumizi Unit 2
MajiSafi(Tsh): .......
EWURA(1%): .....
Deni la/Ziada ya Nyuma(Tsh): .....
Lipa kabla ya tarehe 2025-03-15 00:00:00.0
Huduma kwa Wateja Bure 0800 751 011
Kalipie bili kwa wakati siyo kuja kulialia humuMamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama.
Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa.
Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo haikubaliki na haitakubalika.
Mmeanzisha mtindo wa kutuma bill za maji kwa njia ya simu (SMS), ambapo tatizo limeanzia hapa. Unakuta SMS ya bill inayotumwa kwa mteja, na SMS hiyo hiyo ni notice ya kukatiwa maji.
Kwa watumiaji wa maji, hii mbinu au sheria tunaikataa na haikubaliki hata kidogo.
Unakuta unatumiwa bill kupitia simu, ukiwa njiani, ukifika nyumbani unakuta maji yamekatwa!
Ukiwauliza, wanakujibu kuwa walisha kupatia notice ya kukatiwa maji.
Kwa hali hii, haikubaliki, na tunaomba bill za maji zitenganishwe na notice za kukatiwa maji.
Hii ni hatari kubwa na uonevu mkubwa sana.
Kilio hiki kinawafanya wananchi kuichukia serikali yao na kujiona kama wakimbizi ndani ya nchi yao
. Wakati huu, wananchi wanakaribia kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na watatumia hasira ya sheria hii mbovu kuiondoa serikali madarakani, kwa sababu ya watu wachache wasio na uchungu na raia wao.
Kutenganisha bill za maji na notice za kukatiwa maji si suala la hiari; ni lazima ili kuhakikisha uwazi na uaminifu katika huduma za maji.
Mteja anapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa ni kiasi gani anachotakiwa kulipa na kwa nini, bila kuwa na wasiwasi wa kukatwa maji bila taarifa ya kutosha.
Hili linahitaji mabadiliko ya dhati katika jinsi mamlaka inavyowasiliana na wateja wake.
Ni muhimu kwa mamlaka ya maji kuelewa kuwa huduma za maji ni haki ya msingi kwa kila raia.
Wananchi wanapaswa kupata maji safi na salama bila vikwazo vya aina yoyote.
Hivyo, ni jukumu la mamlaka kuhakikisha kuwa huduma hizi zinapatikana kwa urahisi na kwa uwazi.
Mteja hapaswi kuhisi kama anashindwa kupata huduma anazostahili kwa sababu ya ukosefu wa mawasiliano mazuri na mamlaka.
Mamlaka ya maji inapaswa kujifunza kutokana na malalamiko haya na kuchukua hatua za haraka.
Kuweka mfumo wa wazi ambao unawapa wateja taarifa sahihi kuhusu bili zao na mchakato wa kukata maji ni muhimu.
Hii itasaidia kuondoa wasiwasi na kuimarisha uhusiano kati ya mamlaka na wateja.
Wakati wa uchaguzi wa 2025 unakaribia, ni muhimu kwa serikali na mamlaka husika kuelewa kuwa matendo yao yanaweza kuwa na athari kubwa.
Wananchi wanapoona kuwa hawatendewi haki, wanaweza kuchukua hatua za kisiasa ambazo zitawaathiri wote.
Ni muhimu kwa viongozi wa maji na serikali kwa ujumla kuelewa kwamba huduma bora za maji zitawajenga na kuimarisha uhusiano mzuri kati yao na wananchi.
Kwa kumalizia, tunasisitiza tena kwamba bill za maji zinapaswa kutenganishwa na notice za kukatiwa maji.
Tunataka mamlaka ya maji ishirikiane na wananchi kwa uwazi na kwa heshima.
Hii ni fursa ya kuboresha huduma na kujenga uaminifu kati ya mamlaka na jamii.
Tunatarajia mabadiliko ya haraka ili kuhakikisha kuwa wote wanapata haki zao za msingi za kupata maji safi na salama bila matatizo yoyote.
Mnawafanya wananchi mbu mbu mbu, nyakati hizi?Kalipie bili kwa wakati siyo kuja kulialia humu