R R579 Senior Member Joined Dec 22, 2023 Posts 120 Reaction score 135 Mar 26, 2025 #21 peno hasegawa said: Mnawafanya wananchi mbu mbu mbu, nyakati hizi? Click to expand... Hapo unaambiwa kabisa lipa kabla ya tarehe fulani,hulipi na wakikata maji unataka wakupe notice tofauti? Tumiza wajibu wako kupata huduma bora
peno hasegawa said: Mnawafanya wananchi mbu mbu mbu, nyakati hizi? Click to expand... Hapo unaambiwa kabisa lipa kabla ya tarehe fulani,hulipi na wakikata maji unataka wakupe notice tofauti? Tumiza wajibu wako kupata huduma bora
Manepesa JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,065 Reaction score 3,714 Mar 26, 2025 #22 Nchi hii MASKINI na mwananchi wa kawaida wanakandamizwa sana