KERO Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) upotevu huu wa maji hadi lini? Hili lishughulikiwe?

KERO Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) upotevu huu wa maji hadi lini? Hili lishughulikiwe?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
37
Reaction score
37

Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe.

SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa huohuo hayana maji wakati upande wa pili yanamwagika hovyo.

Warioba unakaa sana ofisini Vijana wako hawako makini na kazi yao upotevu wote huu nani atalipia? Hii sio sawa kabisa.
Snapchat-338965383.jpg
Pia soma ~ SUWASA yarekebisha mabomba yaliyokuwa yanavuja Singida
 
Back
Top Bottom